ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Hiii Bettle Sio ya Kitoto,wale wanaotumika na Upande wa pili kazi wanayo,No hate No Fear, People’s Power
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii Bettle Sio ya Kitoto,wale wanaotumika na Upande wa pili kazi wanayo,No hate No Fear, People’s Power
Hapo lazima umma ushinde!Nguvu ya umma vs nguvu ya waliokula wakashiba wakavimbiwa.
Huyo Chakubanga mgonjwa wa zika tumeshampuuzaMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Mtapiga tena risasi?Lisu anakosea sana kujibizana au kutunishia misuli mamlaka..madhara yake yeye mwenyewe anayajua.
Kwa lipi?!Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Ujinga huu mmezidiwa Mwaka huu Hamna rangi mtaacha ona Lissu cyo LowassaMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!