mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Huyu chakubanga ni hatari kuliko koronaMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app