Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo Popolele ndo mwenye tume?
Hoja hazijibiki , mtatafuna vizibo vya peni na majibu ya hoja za lissu hampati. SHUBARAMIT!!
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Kwake Sasa angesema anataka sema tume, iwadhulumu waliowekewa zengwe , Mimi ningemuelewa.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
slow slow anaishurutisha tume haya ni maajabu
 
Inaeleweka hii, hata zile karatasi alizokua anasoma mkurugenzi wa Tume na zenyewe ni maelekezo yameandikwa tayari, yaliotoka CCM.
Bwana Mahera na domo lake lile kama Nguruwe, alikua anasoma tu.
Naamini kabisa ilikua akili ya Polepole imetumika kujibu hoja za Lissu kupitia NEC.

Uchaguzi huu lazima tupasuane matumbo, tulane maini wenyewe kwa wenyewe.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Waswahili wanasema mtu hakatai wito, anakataa neno.
 
Si unakumbuka mkuu, wakati wa paper ukiona mtu ameanza kutafuna kizibo cha peni, ujue tayar kanasa.....
Walikuwa wanaanza na kile kishio. Kinaliwa kinaisha, wanaenda kwenye kichwa. Wanakula hadi kinatoboka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maisha haya.....[emoji2297][emoji2297]
 
Nguvu ya umma vs nguvu ya waliokula wakashiba wakavimbiwa.
Unafahamu maana ya nguvu ya umma?! Unadhani hao kwenye mikutano ya Lissu wenu ndiyo nguvu ya umma?! Unadhani kumuua Mlelwa ndiyo nguvu ya umma? Unadhani kushinda mitandaoni kuandika hili la like dhidi ya JPM ndiyo nguvu ya umma? Hujui nguvu ya umma wewe....fanyeni fujo after October 28th ndipo muone nguvu ya umma...
 
Back
Top Bottom