Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Pole pole ni muajiriwa wa CCM ambaye ka kweli ni liability.
Ni kama roboti lisilo na akiili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli ikiuma sema..from mwenezi to msemaji..
 
Ksma
Huyu asiyejulikana ni mzee ama kijana yupo sawa kweli? Lissu kasema hajapata barua rasmi toka Tume ya wito sasa cha ajabu ni kipi? basi kama anayo aipeleke yeye. Lissu ataogopaje kwenda Tume kama ana formal letter ya wito?

Mzee hii ni Tume ya Taifa ya uchaguzi ina kanuni na maadii yake na si tume ya CCM.
Kama vipi Polepole apeleke copy ya barua aliyobakinayo maana tume wanachelewesha ya kwao.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!

Makali yapi na SHERIA HAWAJUHI?
yeye polepole si apeleke malalamiko kama anajiona yeye ni mgombea?
 
Hapa Polepole anatuthibitishia kuwa NEC imepewa maagizo na CCM, sasa endapo NEC hawatatekeleza maagizo watafikuzwa kazi, Polepole hajui kuficha siri.
Polepole alipata unyafuzi katika hatua za ukuaji wake. Ndio maana unaona hali yake ilivyo. Unyafuzi hushambulia ubongo. Ni wa kumhurumia.
 
Ni kweli tume ya uchaguzi fanyeni kazi yenu, Lissu anataka kuwapanda kichwani.
 
Huyu ZWAZWA Ndiye wa kutenda haki!? 😳

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
 
Polepole ni tatizo nchi hii. Watu hawalioni hili lakini ni kiumbe hatari sana. Kwanini anamtishia Lissu? Kwanini anataka kuishurutisha tume 'huru' itende kama anavyotaka yeye Polepole? Huyu atasababisha watu wachukue sheria mkononi dhidi yake au dhidi ya Mahera.

Huyu ni mtu aliyechangia sana kumdanganya rais wakati wa kampeni ya nunuanunua ya wapinzani akimuaminisha mwenyekiti wake kwamba upinzani umekufa. Kumbe alimuonyesha maiti tofauti.

Asijibaraguze, atulie ale makofi kutoka kwa mwenyekiti wake na kujibu maswali yake kwa ufasaha.
Mbona huyo boya wenu tobo Lissu ameishurutisha time imuite Majaliwa.

Unajua CDM nyie ni wapuuzi sana yaani mnajiona nyinyi ndiyo mna haki.
 
Inaeleweka hii, hata zile karatasi alizokua anasoma mkurugenzi wa Tume na zenyewe ni maelekezo yameandikwa tayari, yaliotoka CCM.
Bwana Mahera na domo lake lile kama Nguruwe, alikua anasoma tu.
Naamini kabisa ilikua akili ya Polepole imetumika kujibu hoja za Lissu kupitia NEC.

Uchaguzi huu lazima tupasuane matumbo, tulane maini wenyewe kwa wenyewe.
 
Pole pole na Bashiru kwenye nafasi zao hawatoshi,hawawezi kucheza kete ktk uchaguzi ndio maana wanatumia nguvu na nguvu ya dola,CCM itawakumbuka akina Nape,January na Kinana watoto wa mjini.Siasa no mchezo wa rafu na uhuni fulanifulani bila kutumia nguvu mambo hayo Polepole hana
 
Kwa hiyo Polepole anavyosema kuwa ole wake asipofika inamaanisha kuwa kitakachompata Lissu ni wao wameiagiza tume nini cha kumfanya ndio maana anajua kuwa kitakachompata Lissu kitakuwa cha ole kwake?.
 
Ccm imechoka kushindana, akina Polepole wanaishinikiza tume maana wanaona aibu ccm kushindwa, na ukizingatia walivyokuwa wanatamba wanaona aibu ya karne. Hapo tayari wameishaipa tume ya uchaguzi hatua za kumchukulia Tundu Lisu. Uzuri ni kuwa wamejua watanzania wengi hatuna muda na ccm.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu chakubanga naona hajui mipaka yake ya kazi
 
Polepole weeeeh!
Polepole weeeeh!
... naona unahitaji malezi weeeeh!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Mbona huyo boya wenu tobo Lissu ameishurutisha time imuite Majaliwa.

Unajua CDM nyie ni wapuuzi sana yaani mnajiona nyinyi ndiyo mna haki.
Mbona hiyo shuruti ya Lissu tume haijatekeleza kama ambavyo imetekeleza shuruti ya ccm kumuita Lissu. Mnajifanya tume ni yenu, mtakunya safari hii. Tume na ccm kwasababu ni wapenzi, mtazikwa kaburi moja muendelee kupendana huko.
 
Back
Top Bottom