Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Hiii Bettle Sio ya Kitoto,wale wanaotumika na Upande wa pili kazi wanayo,No hate No Fear, People’s Power
1601587956047.png
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Chakubanga mgonjwa wa zika tumeshampuuza
 
Lisu anakosea sana kujibizana au kutunishia misuli mamlaka..madhara yake yeye mwenyewe anayajua.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Ujinga huu mmezidiwa Mwaka huu Hamna rangi mtaacha ona Lissu cyo Lowassa
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!

Katiba ya nchi inasema tume haipangiwi kazi wala kuingilia na mtu yoyote wala kuchunguzwa kwa matendo yake. Hivi huyo 'slowslow' hajui katiba?
 
Ponapona ya CCM ni kuendelea kuwa na katiba mbovu inayompa madaraka makubwa raisi.Vinginevyo hawana ujanja.Mwaka huu upinzani ukikomaa wasiibiwe CCM hawana chao ni kurudi tu chato!
 
Chakubanga vipi maelekezo yako kwa tume yamefanikiwa we Pimbi ? Humjui Lissu unamsikia tu .
 
Back
Top Bottom