😄😄😄
43:00 Mchezaji mahiri kabisa ambaye ni kutoka Tume anaingia dakika ya 43
44:22 Goooli Dk Tume mchezaji aliyeingia mda sio mrefu anajifunga goli hapa, ni mpira wa kurusha ulikuwa unarudishwa kwa kipa, na bahati mbaya ukagonga kichwa cha mchezaji huyu wakati anaingia uwanjani na kuingia golini
Naona Kocha msaidizi polepole anakataa, anataka refa atumie VAR, lile ni goli kabisa tumeliona lakini wanasema filimbi haikuwa imepulizwa.
Kwako mwalimu Kashasha unazungumziaje mchezo huu dakika za mwisho za kipindi cha kwanza