TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kama mnajua pole pole anasaka mkate kwa nini mnamlalamikia?
Wewe usietaka kutafuta mkate wa kila siku,kaa utaletewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usietaka kutafuta mkate wa kila siku,kaa utaletewa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Marehemu alikuwa na mdomo sana.
Nionyeshe comment niliyomlalamikia.Kama mnajua pole pole anasaka mkate kwa nini mnamlalamikia?
Hawana namna,wataunga juhudi tu.Huyu jamaa tuliemwachia Uhuru wa kutukana jeshi,nadhani baada ya uchaguzi atarudi alikotoka.Wale watu wanapenda uongo wa kupitiliza au wakujiondoa ufahamu.Lakini yote tisa baada ya uchaguzi ndio wao wa kwanza kuunga juhudi za Magufuli.
Joyce nilikuwa namjibu huyo mtu anayedhani CCM Ina hati miliki kwenye Taifa hiloHahahahahahhaha hivi Kwa nini mnaichukia chadema? Ndio maana mlitaka Hadi mbatia awe chama kikuu cha upinzani mkashangaa chadema inawapepeta sijui kaishia wapi mbatia
Hata Kama Ni mwwpesi mbona mnamuogopa inatakiwa mkae kimyaaaMtazamo wako potofu. Lissu mwepesi sana sio wa kumsumbua Magufuli.
Napesa za rambirambi za wahanga wa tetemeko Bukoba amezitolea ufafanuzi?Vipi Kuhusu mifuko ya jamii na Mafao?
Pole pole amejibu Kuhusu FAO la kujitoa na kuchelewa Malipo?
Na ardhi eka 25000? Amejibu huyo.
Je kurudishia watu Pesa zao za vitambulisho?
Wakati wa kampeni huwezi kukaa kimya ukizingatia ni mtu mwenye maneno mengi yenye ujumbe unaopotosha.Hata Kama Ni mwwpesi mbona mnamuogopa inatakiwa mkae kimyaaa
Kwenye kampeni kila mgombea anaongopa tukianza na Magufuli Ni muongo kupindukia, mbaguzi kupindukia, mkabila kupindukia ,mbinafsi kupindukia na mengine mengi tuWakati wa kampeni huwezi kukaa kimya ukizingatia ni mtu mwenye maneno mengi yenye ujumbe unaopotosha.
Kuwaambia watu uhalisia wa jambo linalopotoshwa kisiasa ni sehemu ya kampeni.
Hana uongo wowote aliahidi kufufua shirika la ndege akikuta lina ndege moja mbovu na sasa zipo kumi na moja.Kwenye kampeni kila mgombea anaongopa tukianza na Magufuli Ni muongo kupindukia, mbaguzi kupindukia, mkabila kupindukia ,mbinafsi kupindukia na mengine mengi tu
Vip laptop kwa kila mwalimu na milioni hamsini Kila Kijiji, Bado katiba mpy zote zilikuwa ahadi zake na Nilimpigia kura kea kujua kuwa Tanzania ya viwanda itakuwa lakini ninayo yashuhudia Ni Kama hayaHana uongo wowote aliahidi kufufua shirika la ndege akikuta lina ndege moja mbovu na sasa zipo kumi na moja.
Hana ukabila wowote, zahanati, shule za sekondari na msingi zinajengwa nchi nzima. Upanuzi wa bandari ni wa nchi nzima.
Hana ubaguzi wowote, serikalini kuna walemavu wa ngozi na viungo wenye vyeo vikubwa tu.
Hizo laptop ni mchakato wa muda mrefu.Vip laptop kwa kila mwalimu na milioni hamsini Kila Kijiji, Bado katiba mpy zote zilikuwa ahadi zake na Nilimpigia kura kea kujua kuwa Tanzania ya viwanda itakuwa lakini ninayo yashuhudia Ni Kama hayaView attachment 1580697
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Vip laptop kwa kila mwalimu na milioni hamsini Kila Kijiji, Bado katiba mpy zote zilikuwa ahadi zake na Nilimpigia kura kea kujua kuwa Tanzania ya viwanda itakuwa lakini ninayo yashuhudia Ni Kama hayaView attachment 1580697
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
kwani lin hazijaheshiiwa.Ni kweli tume itaamua imtangaze nani,
Lakini Kama kura zetu zitaheshimiwa .
Mtabaki midomo wazi.
Jidanganye ili ujipe moyo.Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!