Kumbe utaratibu wa CCM uko wazi kabisa,imetosha wapendwa huyu mama mta muua
utaratibu wa ccm ndio unataka hivo as per Polepoleimetosha wapendwa huyu mama mta muua
Mimi mwenyewe nilishangaa inakuwaje,Utaratibu wa ccm uko wazi kabisa ila wahuni washaingia kuuhujumu
Haya ni mambo ya nchi na mustakabali wetu na vizazi vijavyo.imetosha wapendwa huyu mama mta muua
Mama hata hawazi, mkitaka mabadiliko watu wawe tayari kuandamana na kupambana na polisi. Machawa wawe wanatekwa na kupotezwa kama wanaokosoa serikali.imetosha wapendwa huyu mama mta muua
😁🤣🤣imetosha wapendwa huyu mama mta muua
NO REFORMS, NO ELECTION.Salaam!
Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.
1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko na desturi walizojiwekea wao wa ccm,ingawa ni haki yao kikatiba kugombea Urais.
2. Amedai pia kuwa, baada ya kifo Cha JPM, ilitakiwa amalizie awamu aliyoanza Magu Kisha kukabidhi kwa mwingine, huo ni utaratibu wa CCM,ingawa ni haki ya kikatiba kwa aliyepokea kijiti kugombea sawa sawa na isemavyo katiba.
Sasa alichofanya Samia ni kufumbia macho utaratibu uliopo ndani ya CCM ambao pia umemuondoa PM kugombea Ubunge kwa awamu ingine baada ya miaka 10 ya uwaziri Mkuu kwisha.
Tunakushukuru Mh Polepole kuliweka hili wazi maana hata huku kijijini kwa Hali ya kawaida, boss akifariki, ukapewa kushika Nafasi yake kwa muda, unatakiwa kukabidhi madaraka baada ya muda wa marehemu kwisha, Ili wana ukoo wamchague wamtakae, kulazimisha kuendelea ni kutengeza taswira mbaya juu ya...
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Nawasilisha 🙏
🤣🤣 Watampa kisukari Kwa kweliwadau mna tembea nae kwa speed sana na Vile ana roho ndogo😅😅
Lazima tupaze sauti,wadau mna tembea nae kwa speed sana na Vile ana roho ndogo😅😅
Ni sahihi kabisa,Tuseme kipindi cha JPM kinaisha 2025, anatakiwa mwingine. Atakaejitokeza aombe kama katiba inavyosema. Polepole yupo sahihi.
Hapa tunaongelea utaratibu siyo kuua mtu.imetosha wapendwa huyu mama mta muua
Hatujasema bado,lazima mseme na mtasema.kwahyo what next?
NRNE 💪 🔥 zimechukua sura mpya,NO REFORMS, NO ELECTION.