Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

Ili mkewe asipate fedha za uwenza na ubunge na mwanaye akose fedha za uwaziri na ubunge pia waanze kuchunguza miradi ya Miraji na Salama? No way huyu ni kadi yake ya turufu.
Huyu Mzee ni zaidi ya Jasusi,ni wakati atundikwe msalabani ahujiwe kwa short ya umeme,we are done,inatosha
 
Kulingana na taratibu na miiko ya chama, hapasi kugombea,

Sasa chama na katiba kipi kinaanza na kipi kinafuata.

Ni kama tu ambavyo hawezi kutoka chamani akaendelea kuwa kiongozi wa serikali.
Kama Katiba ni kakijitabu tu itakuwa hizo taratibu na miiko ambayo si ajabu haijaandikwa popote pale!!!! Ni kama mambo ya awamu. Ñashangaa watu wanapiga kelele kuhusu awamu utadhani inabadilisha kitu chochote. Hakuna neno awamu za uongozi kwenye Katiba ya URT.
 
Ali Hassan alikuwa makamu wa kwanza wa Jamhuri ya Tanzania,na Raisi wa Zanzibar.
Mwaka 2005 pia taratibu zilipindishwa na ndiyo cancer iliyoifanya nchi iwe hapa tulipo Leo...RIEP Jk Nyerere!
 
Hivi wakati Magufuli anagombea mara ya pili mwaka 2020 kuna wanachama wengine wa CCM walichukua form kuchuana naye? If so ni kina nani?
Tofautisha scenario ya magufuli na hii, magufuli alikuwa akihudumu muhula wake wa pili na kwa utaratibu wao huwa anahudumu vipindi viwili, ila huyu amekaimu muhula wa mtangulizi wake ambaye ni magufuli baada ya kufariki hiyo 2021 hivyo huyu ni kaimu Rais, hivyo ilipaswa mwaka huu fomu zianze upya kuchukuliwa, na sio rafu anazotaka kucheza, huyu alikuwa anahudumu muhula wa magufuli na sio wake, hivyo sasa hivi ndo alipaswa kuchuana na wenzie ili aanze muhula wake
 
Nikiwa kama mtu wa kuchanganya na za kwangu nachelea kuuliza kama utaratibu huu upo kimaandishi au evidence ni kwenda kumuuliza Mangula ? Na kama evidence ni kumuuliza Mangula au fulani huoni kwamba desturi hii ina walakini sababu hawa tunaowauliza wanaweza wakawa wanajiongezea utaratibu wao ?
 
Na ikiwa huu utaratibu haupo popote,

Iweje Lowassa akatwe?

Iweje Malecela, na Pm, vice na Speakers waliopita,

Hawajawahi kupitishwa Urais ccm?
 
Salaam!

Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.

Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula!

1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko na desturi walizojiwekea wao wa ccm,ingawa ni haki yao kikatiba kugombea Urais.

2. Amedai pia kuwa, baada ya kifo Cha JPM, ilitakiwa amalizie awamu aliyoanza Magu Kisha kukabidhi kwa mwingine, huo ni utaratibu wa CCM,ingawa ni haki ya kikatiba kwa aliyepokea kijiti kugombea sawa sawa na isemavyo katiba.

Sasa alichofanya Samia ni kufumbia macho utaratibu uliopo ndani ya CCM ambao pia umemuondoa PM kugombea Ubunge kwa awamu ingine baada ya miaka 10 ya uwaziri Mkuu kwisha.

Tunakushukuru Mh Polepole kuliweka hili wazi maana hata huku kijijini kwa Hali ya kawaida, boss akifariki, ukapewa kushika Nafasi yake kwa muda, unatakiwa kukabidhi madaraka baada ya muda wa marehemu kwisha, Ili wana ukoo wamchague wamtakae, kulazimisha kuendelea ni kutengeza taswira mbaya juu ya...

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Nawasilisha
 
Sisemi upo au haupo na wala sijaingia kwenye point ya kwamba ni wapi kuna katazo kwamba utaratibu huwa haubadiliki..., nimejikita kwanza kwenye point ya evidence ni kwenda kumuuliza fulani !!!! Hii kwangu mimi ndio imenistua kidogo kwamba fulani ndio mtunza desturi ? Je na huyu fulani akiamua kuongezea ya kwake na kuyasema ndio Desturi ?

By the way kwahio kina Lowassa, Malecela na hao So called Speakers waliopita hawakufahamu kwamba kuna desturi hadi wakaomba kugombea ?

Mbona tunabase our arguments kwenye House of Cards ?
 
ni roho mbaya ya chuki na wivu na tamaa....walioweka huo utaratibu si ndio walioutoa shida iko wapi? MSIMPIGIE KURA

ila kama hiyo taratibu ipo kwenye katiba yao sawa!
 
Salaam!

Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.

Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula!

1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko na desturi walizojiwekea wao wa ccm,ingawa ni haki yao kikatiba kugombea Urais.

2. Amedai pia kuwa, baada ya kifo Cha JPM, ilitakiwa amalizie awamu aliyoanza Magu Kisha kukabidhi kwa mwingine, huo ni utaratibu wa CCM,ingawa ni haki ya kikatiba kwa aliyepokea kijiti kugombea sawa sawa na isemavyo katiba.

Sasa alichofanya Samia ni kufumbia macho utaratibu uliopo ndani ya CCM ambao pia umemuondoa PM kugombea Ubunge kwa awamu ingine baada ya miaka 10 ya uwaziri Mkuu kwisha.

Tunakushukuru Mh Polepole kuliweka hili wazi maana hata huku kijijini kwa Hali ya kawaida, boss akifariki, ukapewa kushika Nafasi yake kwa muda, unatakiwa kukabidhi madaraka baada ya muda wa marehemu kwisha, Ili wana ukoo wamchague wamtakae, kulazimisha kuendelea ni kutengeza taswira mbaya juu ya...

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Nawasilisha 🙏
Inawezekana hii issue ya kuahirisha kikao cha uteuzi kina uhusiano na yale alioyaongea Polepole.CCM wapo kwenye sintofahamu kubwa .
 
Sisemi upo au haupo na wala sijaingia kwenye point ya kwamba ni wapi kuna katazo kwamba utaratibu huwa haubadiliki..., nimejikita kwanza kwenye point ya evidence ni kwenda kumuuliza fulani !!!! Hii kwangu mimi ndio imenistua kidogo kwamba fulani ndio mtunza desturi ? Je na huyu fulani akiamua kuongezea ya kwake na kuyasema ndio Desturi ?

By the way kwahio kina Lowassa, Malecela na hao So called Speakers waliopita hawakufahamu kwamba kuna desturi hadi wakaomba kugombea ?

Mbona tunabase our arguments kwenye House of Cards ?
Kwahiyo Mzee Mangula humjui ni nani na mizizi yake ndani ya chama nchi hii?
 
Inawezekana hii issue ya kuahirisha kikao cha uteuzi kina uhusiano na yale alioyaongea Polepole.CCM wapo kwenye sintofahamu kubwa .
Hoja alizotoa ni nzito sana.

Kuna vitu vingi vilivyokusudiwa kufichwa kwa Gharama kubwa kavifungua.

Sasa kuliko aite press ingine, ni Bora wachukue hatua za haraka kuzuia wengine nao wasiongee!
 
Huu Uzi wako ndo umebeba hoja ya msingi ya barua na press ya pole pole, kwa maneno machache huo ndo ulikuwa ujumbe mengine ni nyongeza Tu.
Kumbe waliambiana sirini mmoja akajitia ujuaji kisa ameshika rungu!

Sasa wanayaanika,

Sijui press ya pili atafungua codes gani!
 
Kwahiyo Mzee Mangula humjui ni nani na mizizi yake ndani ya chama nchi hii?
Watu wanapinga Kauli za kina Mohamed na Jesus Christ ije kuwa Bin Adamu ? Na hata kama anajua yote ndio tuamini kwamba atakachosema kitakuwa ndio kilichopo (yaani hawezi kudanganya)?

Desturi na Utaratibu wowote ni well known kwa wahusika wote i.e. Kauli ya kamuulize fulani ime dilute point more than strengthening it...
 
Back
Top Bottom