Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

Salaam!

Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.

Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula!

1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko na desturi walizojiwekea wao wa ccm,ingawa ni haki yao kikatiba kugombea Urais.

2. Amedai pia kuwa, baada ya kifo Cha JPM, ilitakiwa amalizie awamu aliyoanza Magu Kisha kukabidhi kwa mwingine, huo ni utaratibu wa CCM,ingawa ni haki ya kikatiba kwa aliyepokea kijiti kugombea sawa sawa na isemavyo katiba.

Sasa alichofanya Samia ni kufumbia macho utaratibu uliopo ndani ya CCM ambao pia umemuondoa PM kugombea Ubunge kwa awamu ingine baada ya miaka 10 ya uwaziri Mkuu kwisha.

Tunakushukuru Mh Polepole kuliweka hili wazi maana hata huku kijijini kwa Hali ya kawaida, boss akifariki, ukapewa kushika Nafasi yake kwa muda, unatakiwa kukabidhi madaraka baada ya muda wa marehemu kwisha, Ili wana ukoo wamchague wamtakae, kulazimisha kuendelea ni kutengeza taswira mbaya juu ya...

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Nawasilisha 🙏
Lakini mbona kama katiba haisemi hivyo?

Labda kwa desturi!!

Maana katiba imesema kama makamubwa rais atashika madaraka kwa kipindi kinachozidi miezi 3 ,ararahusiwa kugombea mara moja ,na kama ni chini ya miezi mitatu ,ataruhusiwa kugombea mara mbili!!
 
Ccm ina taratibu zake za ndani mbali na katiba,

Ndio hicho Pole Pole ametumegea.
 
Tofautisha scenario ya magufuli na hii, magufuli alikuwa akihudumu muhula wake wa pili na kwa utaratibu wao huwa anahudumu vipindi viwili, ila huyu amekaimu muhula wa mtangulizi wake ambaye ni magufuli baada ya kufariki hiyo 2021 hivyo huyu ni kaimu Rais, hivyo ilipaswa mwaka huu fomu zianze upya kuchukuliwa, na sio rafu anazotaka kucheza, huyu alikuwa anahudumu muhula wa magufuli na sio wake, hivyo sasa hivi ndo alipaswa kuchuana na wenzie ili aanze muhula wake
Umesoma Katiba au unatoa maneno kutoka kichwani kwako? Katiba inasemaje kuhusu Rais akifariki? Naomba usome Katiba ya URT Sura ya Pili, Ibara ya 37 Ibara ndogo ya 5 na Ibara ya 40 ibara ndogo ya 4.
Hakuna mahali popote kwenye Katiba palipoandikwa kuwa Rais akifariki Makamu wa Rais ANAKAIMU urais kwa kipindi kilichobaki. Someni Katiba vijana msiandike maneno ya mitaani au mnavyotaka nyinyi iwe.
 
Lakini mbona kama katiba haisemi hivyo?

Labda kwa desturi!!

Maana katiba imesema kama makamubwa rais atashika madaraka kwa kipindi kinachozidi miezi 3 ,ararahusiwa kugombea mara moja ,na kama ni chini ya miezi mitatu ,ataruhusiwa kugombea mara mbili!!
Siyo miezi mitatu!!! Soma Katiba Sura ya Pili Ibara ya 40 Ibara ndogo ya 4.
 
Salaam!

Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi.

Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula!

1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko na desturi walizojiwekea wao wa ccm,ingawa ni haki yao kikatiba kugombea Urais.

2. Amedai pia kuwa, baada ya kifo Cha JPM, ilitakiwa amalizie awamu aliyoanza Magu Kisha kukabidhi kwa mwingine, huo ni utaratibu wa CCM,ingawa ni haki ya kikatiba kwa aliyepokea kijiti kugombea sawa sawa na isemavyo katiba.

Sasa alichofanya Samia ni kufumbia macho utaratibu uliopo ndani ya CCM ambao pia umemuondoa PM kugombea Ubunge kwa awamu ingine baada ya miaka 10 ya uwaziri Mkuu kwisha.

Tunakushukuru Mh Polepole kuliweka hili wazi maana hata huku kijijini kwa Hali ya kawaida, boss akifariki, ukapewa kushika Nafasi yake kwa muda, unatakiwa kukabidhi madaraka baada ya muda wa marehemu kwisha, Ili wana ukoo wamchague wamtakae, kulazimisha kuendelea ni kutengeza taswira mbaya juu ya...

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Nawasilisha 🙏
Kwahiyo Lucas mwashamba na chiembe watakula wapi wajameni
 
Hii mambo anayotaka Polepole ikifanyika na Mama akibahatika kupita mjuwe kabisa Mama atapiga miaka 15, mitano ya Magufuli na kumi ya kwake kama Rais, bora Mama aachiwe amalize tu hii mitano yake!!
Wanachosema siyo hafai, so far utaratibu ulioridhiwa umetumika hata akikaa miaka 200 no problem.
 
Back
Top Bottom