Kifo ni kifo tu.imetosha wapendwa huyu mama mta muua
Kifo ni kifo tu.imetosha wapendwa huyu mama mta muua
Hii mambo anayotaka Polepole ikifanyika na Mama akibahatika kupita mjuwe kabisa Mama atapiga miaka 15, mitano ya Magufuli na kumi ya kwake kama Rais, bora Mama aachiwe amalize tu hii mitano yake!!Ni sahihi kabisa,
PM kanaliza 10 yake kakaa Pembeni.
Samia naye kumi imeisha. Na utaratibu walliojiwekea ccm ikitokea Rais kafia madarakani ni kukabidhi kijiti kwa chama, chama kifanye mchakato wa wazi kizibe matundu Katika mtumbwi, apattikane Nahodha mwingine, safari iendelee.
Mzee Kikwete kama mshauri Mkuu, anakipekeka shimoni chama,
Wamuondoe haraka.
HATOGOMBEAHii mambo anayotaka Polepole ikifanyika na Mama akibahatika kupita mjuwe kabisa Mama atapiga miaka 15, mitano ya Magufuli na kumi ya kwake kama Rais, bora Mama aachiwe amalize tu hii mitano yake!!
Hawezi kugombea,Madaraka yakikolea mtu anakuwa addictive kama mhanga wa cocaine ndo kinachomtokea bibi kizimkazi hawezi kabisa kuachia madaraka kwa kuwa yamemlevya
Huo utaratibu uko kimaandishi, uko kwenye Katiba ya CCM? Kama uko kwenye Katiba ya CCM kwa nini wanaweka mambo yaliyo kinyume na Katiba ya Nchi? SSH hana makosa, ana haki ya kugombea 2025 kulingana na Katiba ya URT.Haya ni mambo ya nchi na mustakabali wetu na vizazi vijavyo.
Akiona tunamwandama, aachie ofisi akapumzike nyumbani aone kama tutamsema,
Utaratibu ufuatwe,
Akabidhi kijiti, utaratibu ufuatwe, watu wachukue fomu, mchakato uwe wazi, vyama vyote vya upinzani viruhusiwe kuingia uchaguzini,
Ccm iendelee kushika hatamu kwa haki.
Tofauti na hapo 🤔
Kulingana na Katiba ya URT ana haki ya kugombea 2025.Madaraka yakikolea mtu anakuwa addictive kama mhanga wa cocaine ndo kinachomtokea bibi kizimkazi hawezi kabisa kuachia madaraka kwa kuwa yamemlevya
Unauhakika na unacho 'kinena'Haya ni mambo ya nchi na mustakabali wetu na vizazi vijavyo.
Akiona tunamwandama, aachie ofisi akapumzike nyumbani aone kama tutamsema,
Utaratibu ufuatwe,
Akabidhi kijiti, utaratibu ufuatwe, watu wachukue fomu, mchakato uwe wazi, vyama vyote vya upinzani viruhusiwe kuingia uchaguzini,
Ccm iendelee kushika hatamu kwa haki.
Tofauti na hapo 🤔
Ila sio kuchukua fomu pekee yake ashindanishwe ili tupate mgombea mwenye mvuto na ushawishiKulingana na Katiba ya URT ana haki ya kugombea 2025.
Tusubiri tuoneHawezi kugombea,
Mifumo yote imeamka kumzuia
Kulingana na taratibu na miiko ya chama, hapasi kugombea,Kulingana na Katiba ya URT ana haki ya kugombea 2025.
Acha uongo,Ali Hassan Mwinyi alikuwa Makamu wa Raisi 1985,akateuliwa kuwa Mgombea Uraisi na kuwa Raisi wa Tanzania akichukuwa nafasi ya Mwalimu Nyerere.utaratibu wa ccm ndio unataka hivo as per Polepole
Kilichompitisha mwinyi ni sababu aliwahi kuwa president wa Zanzibar,Acha uongo,Ali Hassan Mwinyi alikuwa Makamu wa Raisi 1985,akateuliwa kuwa Mgombea Uraisi na kuwa Raisi wa Tanzania akichukuwa nafasi ya Mwalimu Nyerere.
Kama hayo maneno kayatamka Polepole basi ana short memory.
Kama haitoshi Mwalimu Nyerere alimpendekeza aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Mohamwd Salim kuwa Raisi wa Muungano ingawa wazanzibari weusi walipinga kwa chuki ya weusi na uarabu.
na katika mchuano huo na mzee Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mtia nia.Simba wa vita huyo aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa raisi.
Acha uongo,Ali Hassan Mwinyi alikuwa Makamu wa Raisi 1985,akateuliwa kuwa Mgombea Uraisi na kuwa Raisi wa Tanzania akichukuwa nafasi ya Mwalimu Nyerere.
Kama hayo maneno kayatamka Polepole basi ana short memory.
Kama haitoshi Mwalimu Nyerere alimpendekeza aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Mohamwd Salim kuwa Raisi wa Muungano ingawa wazanzibari weusi walipinga kwa chuki ya weusi na uarabu.
na katika mchuano huo na mzee Rashid Mfaume Kawawa alikuwa mtia nia.Simba wa vita huyo aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa pili wa raisi.
Ali Hassan alikuwa makamu wa kwanza wa Jamhuri ya Tanzania,na Raisi wa Zanzibar.Polepole alisema kuwa huo utaratibu haumhusu rais wa Zanzibar
Taratibu na miiko ya chama ipo ingawa haikuandijwa popote, ndio maana kasema ikiwa mtahoji nisemayo nimeyatoa wapi, muulizeni Mzee Mangula.Huo utaratibu umeandikwa wapi? . Au ni hisia na maoni tu ya Polepole
Kwa nini?? Katiba inasema yeye kugombea ni muhula mmoja tu, hii 2025-2030. Hiyo Hadi 2035 atagombea kwa katiba ipi?Hii mambo anayotaka Polepole ikifanyika na Mama akibahatika kupita mjuwe kabisa Mama atapiga miaka 15, mitano ya Magufuli na kumi ya kwake kama Rais, bora Mama aachiwe amalize tu hii mitano yake!!