Ini, figo, DNA destruction na mengine mengi.
Madalali wa chanjo hawataki kusikia hayo.
They are very vicious and money-propelled like zombies..
Katika watu punguwani duniani huyu idiot pole pole nae yupo. Uchumi wa tz kwa sasa ni asilimia nne nukta kadhaa anasema njia za asili zimesaidia kukua kwa uchumi. Mtu kama huyu ni kirusi cha covid corea ya kusini saa hizi angeshakuwa makaa. Hawa ndiyo watu wa kupotea siyo akina ben saa naneKatibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Umeshauliza uchumi wa Rwanda, Kenya ,Uganda ni asilimia ngapi?Katika watu punguwani duniani huyu idiot pole pole nae yupo. Uchumi wa tz kwa sasa ni asilimia nne nukta kadhaa anasema njia za asili zimesaidia kukua kwa uchumi. Mtu kama huyu ni kirusi cha covid corea ya kusini saa hizi angeshakuwa makaa. Hawa ndiyo watu wa kupotea siyo akina ben saa nane
Wewe wamekufa wangapi kwenu kwa corona?Hakuna atakae kuwa na jibu sahihi la corona hapa Tanzania kwasababu hakuna takwimu.
Watu waliokufa kwa corona kwenye nchi nyingi ni wachache na waliopona ni wengi na ambao hawakupata ni wengi zaidi.
Kwa mfano,Kama Tanzania tupo milioni 60, inawezekana waliougua ni kama milioni 5, na waliofariki labda ni laki 2. Hali kama hii sio rahisi kuitambua na ukipita barabarani na mitaani utaona maisha yanaendelea na kuamini tupo salama.
Sina vitendea kazi vya kupima watu nijue nani ana corona na nani hana na sina mamlaka hayo, na wenye mamlaka hayo pia hawajatoa takwimu, kwahiyo sina jibu.Wewe wamekufa wangapi kwenu kwa corona?
Kwani mwendazake alichanjwa?Kachanjwe ufe
Hakuna mahali nimeuliza swali nimetoa maoni yangu sasa wewe unayeuliza maswali tena wakati tuliambiwa tuko kwenye uchumi wa kati juzi tumeambiwa tofauti. Sasa kama uchumi unakuwa kutoka 7 kwenda 4 asilimia maana yake embe linaanguka kutoka chini kwenda kwenye mti. Baki na maswali yako kama bado uko mwanafunzi kamalizie unachosomeaUmeshauliza uchumi wa Rwanda, Kenya ,Uganda ni asilimia ngapi?
Samia na meko ni kitu kimoja. We hujui kituSamia no pro nani??
Jinga kabisa wewe
Ni kweli swali la kumtegemea Mungu hakuepukiki. Mungu ninayemjua alituweka katika uumbaji wake ili tutawale juu ya viumbe vingine - na hapo nahesabu virusi pia. Si ujinga na kiburi kujiambia "Sihitaji kutumia vipaji nilivyopewa na Mungu ili niweza kutunza familia yangu na kwuasaidia majirani yangu maana inatosha kusali" - hata kama Mungu ametuhurumia kwa kutupa akili ya kupambana na moto na umaskini na magonjwa?Suala la kumtegemea Mungu katika kupambana na corona hakuepukiki. Ni ujinga na kiburi cha mwanadamu kudhani kwamba kila tatizo lipo ndani ya uwezo wa mwanadamu kusolve.
Mkuu wetu wa nchi awamu ya tano alilielewa hilo na neema ya Mungu ilitufunika na imeendelea kutufunika hadi leo hii. Wasiomwamini Mungu wapuuze tu, lakini kwetu sisi acha Mungu aitwe Mungu.
Jiwe Bupiji na Nyungu havikumsaidia na Covid-19 ikamtuliza.Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Covid-19 so Far imeua Raisi Mmoja aliyeko MadarakaniNa waliotumia njia za kisasa na bado wamekufa kuliko sisi nao tusemeje?
Mimea Tiba haikumsaidia Jiwe ?Wale madalali wa chanjo hawawezi kuelewa hii. Watafura kama vifutu.
Chanjo ya beberu iko njiani, na wao walishapokea mapesa ya udalali.
Ukiwaeleza habari za mimea-tiba ama tiba-asili wanafyumu na kusonya kwa ghadhabu.
Madalali wa corona hawa. Hawatusumbui.
Kwenu Afadhali kwani mnatoa Stats / Data ?Pole kwakufiwa lakini ebu sema huko kwingine hawakufa? Mbona sisi hali yetu ni afadhli kuliko wao?
Kwa hiyo Jiwe hakuchapa kazi, Maana covid-19 imetembea naeHuna akili ,kuwafungia watu ndani kunadhoofisha kinga zao za mwili kuliko yule anayechapa kazi
Raisi wetu wa nchi imetembea naeWewe wamekufa wangapi kwenu kwa corona?
Mkuu, hata huko walikotumia mbinu za kimagharibi bado kuna watu walikufa, tena wengi zaidi! Pole kwa kufiwa na dada.Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Nguvu ya Mungu tusiyoielewa... I agree with you!Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Mungu akili zake hazichunguziki, kumtanguliza Mungu mbele ndio mpango mzima.Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.