#COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

Huyu jamaa sio mnafiki wala mchumia tumbo.
 
Marekani ,Uganda ,Brazil hawajui biology??
Unaelewa kwamba kuna Madaktari Marekani na matajiri wengi tu wamekataa kuchomwa Chajo? Hivi wewe, kwa nini usfanye tafiti kwanza uone vile Uganda na Brazil wana haha na milipuko ya Corona baada ya kuchanja watu wao?
Unajua kwamba kuna baadhi ya nchi, wafanyabiashara za migusano kama vinyozi, wanakataa wateja waliochanjwa?
Unawezaje kuuliza swali la namna hiyo kama kweli wewe ni reasonable and understanding person? Uelewa na dhamira zinapimwa kwa majina ya nchi? Swali lako linakutia doa la mashaka kwa upande wa
 
Mwambie mboe
 
Sina vitendea kazi vya kupima watu nijue nani ana corona na nani hana na sina mamlaka hayo, na wenye mamlaka hayo pia hawajatoa takwimu, kwahiyo sina jibu.
Ila umezika wangapi hapo kwenu?
 
Kwahiyo wewe umekuwa vuvuzela la magonjwa mtambuka?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Upo sahihi kabisa
 
We mpuuzi tu, chanjo zote zinatoka kwa wazungu kuanzia umezaliwa unalambwa chanjo, gari la mzungu, cm, computer, bunduki, bomu, sindano, ERV, bati, mpaka sink la choo unalotumia n.k mzungu akiamua kukuua hata leo anakumaliza mapema sn.
 
Kaolewe na hao wazungu sasa
 
Siku hizi takataka ambazo hata hazijui "What is biology" ndio washauri wa masuala ya Afya ?
For your information, wengi wa wanaokufa Uganda ni wale waliopata chanjo ya kwanza. Wataalamu wanasema once ukishapata chanjo ya kwanza utatakiwa upate hanjo ya pili ili iweze kuimarisha immune system.

Naunga mkono hoja ya Polepole, tusikimbilie kuchomwa chanjo, kama kuna uwezekano tuimarishe tiba zetu yaani local vaccines, huku tukimtanguliza Mungu mbele. Mungu alitupa maarifa na akili, bado katupatia mimea ya kila aina na dawa za kila aina. Tuamke
 
We mpuuzi tu, chanjo zote zinatoka kwa wazungu kuanzia umezaliwa unalambwa chanjo, gari la mzungu, cm, computer, bunduki, bomu, sindano, ERV, bati, mpaka sink la choo unalotumia n.k mzungu akiamua kukuua hata leo anakumaliza mapema sn.
Unataka kusemaje maana naona unabwabwaja tu bila kuwa na muelekeo!
 
Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Tumia akili vizuri. Je huko walikofungiwa na kupewa chanjo hawakufa kama alivyokufa dada yako? Yawezekana dada yako alikuwa na magonjwa mengine pia ambayo huyasemi!! Siyo siri kuwa mkakati tulioutumia wa kumtanguliza Mungu ndio umeiweka nchi yetu mahali salama hadi mataifa ya mabeberu yanaona wivu wa dhahiri!. Tunataka kuiga kutoka mataifa ambayo mpaka leo bado yanateswa na maambukizi mapya na vifo kila siku. Uingereza mpaka wameahirisha kuondoa kabisa lockdow kwa sababu maambuki yanaongezeka. Lakini wamechanjwa wengi na barakoa wanavaa na social distancing (kutokukaribiana) wanafuata. Tutawaigaje wale ambao mbinu zao hazijawasaidia? Kwanza watatushangaa na kutudharau sana! Watajua tu ni umaskini wetu wa kutaka misaada / mikopo ndio unaotusukumà kuiga huko kusikokuwa na tija.Hongera sana Polepole kwa kuusema ukweli ambao wengi wanaufahamu lakini unafiki hauwafuhusu kuusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…