GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
K
kwa hiyo Press itakuwepo, au ndo tusubiri hadi hapo tutakapotangaziwa tena?
kwa nini Polepole naye asifanye tu Press ya kushitukiza kama ambavyo Askofu Gwajima huwa anafanya?
asema atafanya
 
Mzee Horrace. walim Kolimba. Alikua katibu Mkuu wa Chama.

Yule alikutana na mkono wa mchonga, wakati ule sisemu ilikuwa inaendeshwa toka Butia...ma

Sasa hivi kuna sisiemu nyingi na teeth nazo zipo nyingi...
 
Mambo yamepamba moto, tumefika pazuri.

Mmemsikiliza Polepole kwa umakini hapo mwishoni? Kasema atatoa credentials za kufuatilia mkutano wake LIVE na waandishi wa habari watapewa nafasi ya kuuliza maswali, that means utakuwa mkutano wa kimtandao.

Mjanja sana jamaa, ngoja tuone.
 
OK mods kumbe imesharipotiwa. Sorry apology! Active
 
Naama kumeanza kuchangamka.
Polepole aache kututisha
Leo ndiyo anajua madhara ya mtu kuvamiwa na kutekwa?
Tuachane nae huyu ni mnafiki tu anayehamisha magoli ya kudai haki.
Kama dadke katekwa yy si anawajua watekaji huyu
 
Naama kumeanza kuchangamka.
Mshana Jr sikiliza clip hii ya polepole........ sentensi yake ya mwisho inaonesha kuwa yuko mafichoni ........."kesho waandishi wa habari watawasiliaa na mimi moja kwa moja na kuuliza maswali" means yuko mafichoni

mungu wa mbinguni atubariki
 
Mshana Jr sikiliza clip hii ya polepole........ sentensi yake ya mwisho inaonesha kuwa yuko mafichoni ........."kesho waandishi wa habari watawasiliaa na mimi moja kwa moja na kuuliza maswali" means yuko mafichoni

mungu wa mbinguni atubariki
Hawezi kamwe kuwa public.. Dadaake wameshaondoka naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…