Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa

Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
 
Wazee huku Arusha polisi wakikuta kikundi mnapiga stori wanapiga risasi hovyo wamepiga jamaa mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kushika korodani za simba soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena ?
Masela waliopigwa wana hali gani? Au na wewe umetoka nduki?
 
Wazee huku Arusha polisi wakikuta kikundi mnapiga stori wanapiga risasi hovyo wamepiga jamaa mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kushika korodani za simba soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena ?
Are you joking, right...?

Kila wakiona kikundi wanapiga risasi hewani hovyo? Then, that's a provocation of the highest level, wanauchokoza UMMA, wanaamusha hasira zetu in a very barbaric way...

Kama ni hivyo, basi maana yake ni Moja tu: Samia hataki AMANI bali anataka kufanya vita na UMMA...

Kama amechukua option ya physical confrontation, yaani VITA, basi apewe vita tuone mwisho wake..

Tarehe D9 msiingie barabarani kilelemama, jiandaeni kikamilifu mkijua ktk vita kuna kufa au kupona...

Mbinu na mikakati ni ile ile ya 29/10 na siku zilizofuata. Polisi na wanajeshi ni wachache mno, hawawezi kuwa kila sehemu kwa wakati mmoja..

Lakini nawatia moyo kuwa, TUMESHASHINDA HII VITA maana walio upande wetu ni WENGI KULIKO WALIO upande wao...!
 
Back
Top Bottom