Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Ndiyo nchi mliyoitaka hiyo kimapunju nyie.
Kwamba wanainchi ndio wamefanya leo hii tuna maaskari wanaopiga watu risasi ovyo mitaani?

Hebu funguka wanainchi wamechangia vipi kuifikisha nchi hapa ilipo.

Nyie watetezi wa huu utawala dhalimu mna matatizo sana.
 
Mbona kaitoa mapema katika moja ya comment zake kabla ya uzi huu!

Tatizo mmejaa wajinga wengi, yani watu wanatafuta kuwavulumisha kwa mawe huo mda wa kupiga picha upo wapi? Wenda zikawepo lakini kwa mtoa mada maana alikuwa kwenye strangle, sasa mda wa kupiga picha anautoa wapi , hivi mkuu unajua mlio wa risasi , kwanza hawa jamaa ni wanaume ,kwamba zinalia huku nanyi mnawawasha na mawe. Ila tz ile kauli ya vijana jeuri nafikiri ndo hii
Na wewe umeamini wamewafurumusha polisi waliobeba risasi za moto na kokoto 😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom