Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Kwani bado kuna Watanganyika wanaogopa risasi?

20251128_133417.jpg

20251128_133421.jpg
 
Unafanya nini hapa jamii forums
Na ukijua mmeifungia, unawasha VPN kabisa, Bado unaibuka na kubeza.
Nenda kwenye website ya CCM ukamsifie Mwenyekiti wa Chama chako
Nani kakuambia nimewasha VPN.Wewe unga mkono huku wenzako wanalipwa.Unabakia kupiga domo na kukaza fuvu.Wenzako wako kwenye payslip.Jipige kifuani mpaka utapike bada ya Uhangaza.
 
Kwa hiyo wewe unaamini kwa sababu umeshabakwa?What a weird reasoning!
Nyie machawa ndo mlikuwa mkifirw.a na Abduli.
Hivi una akili Gani unashabikia Watanganyika kuuliwa kikatili tena wakiwa majumbani kwao
Unashabikia vifo vya vijana na Watanganyika masikini
Unashabikia huu ufisadi
Ndo maana nyie machawa mmezoea kupakwa mafuta na Abduli, mkitoka huko mnakuja kusifia ukatili wa serikali
 
Haya mambo yanatakiwa yaendane na ushahidi wa picha au video. Bila hivyo watajibu na kusema kwamba sio kweli.
 
Nani kakuambia nimewasha VPN.Wewe unga mkono huku wenzako wanalipwa.Unabakia kupiga domo na kukaza fuvu.Wenzako wako kwenye payslip.Jipige kifuani mpaka utapike bada ya Uhangaza.
Wanaolipwa ndo waliiba uchaguzi?
Wanaolipwa ndo waliuwa Watanganyika zaidi ya 10,000
Wanaolipwa ndo waliuza bandari?
 
Naona uko obsessed na kulawitiwa!Wamekuvunja bikira ndio unakuja na hasira.Hiyo ni tela utapigwa mande .Endeleza huo usenge.
 
Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa

Au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Wapi hapo mkuu
 
Poleni wakuu, hawa jamaa wachokozi sana
 
Ndio maana Tanzania iliitwa kisiwa Cha amani sababu Kwa nchi za Afrika ndio nchi pekee mtu alikuwa anaweza kutoka Kona Moja ya nchi mpaka Kona nyingine bila kuhojiwa Wala document yoyote lkn sasa barabara kila sehemu vizuizi vya maswali walinzi na mabunduki maswali kibao kifupi kero acha tuzoee ila usenge tumeleta wenyewe.
 
Wewe ni dokta hapo kaloleni?

Ukipata upenyo mtoboe jugular vein huyo mshenzi.
Jamaa unapenda attention sana humu jukwaani acha ujinga

Stori yako yenyewe ina ukakasi inaonekana unavyojifunga kwenye maelezo yako

Yani watu mmerushiwa risasi nyie mkafanya comeback na mawe wakakimbia 😅😅😅

Tupe picha au video ya huyo jamaa aliyepigwa risasi ya bega
Mbona kaitoa mapema katika moja ya comment zake kabla ya uzi huu!

Tatizo mmejaa wajinga wengi, yani watu wanatafuta kuwavulumisha kwa mawe huo mda wa kupiga picha upo wapi? Wenda zikawepo lakini kwa mtoa mada maana alikuwa kwenye strangle, sasa mda wa kupiga picha anautoa wapi , hivi mkuu unajua mlio wa risasi , kwanza hawa jamaa ni wanaume ,kwamba zinalia huku nanyi mnawawasha na mawe. Ila tz ile kauli ya vijana jeuri nafikiri ndo hii
 
Back
Top Bottom