Wazee huku Arusha polisi wakikuta kikundi mnapiga stori wanapiga risasi hovyo wamepiga jamaa mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kushika korodani za simba soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena ?
Are you joking, right...?
Kila wakiona kikundi wanapiga risasi hewani hovyo? Then, that's a provocation of the highest level, wanauchokoza UMMA, wanaamusha hasira zetu in a very barbaric way...
Kama ni hivyo, basi maana yake ni Moja tu: Samia hataki AMANI bali anataka kufanya vita na UMMA...
Kama amechukua option ya physical confrontation, yaani VITA, basi apewe vita tuone mwisho wake..
Tarehe D9 msiingie barabarani kilelemama, jiandaeni kikamilifu mkijua ktk vita kuna kufa au kupona...
Mbinu na mikakati ni ile ile ya 29/10 na siku zilizofuata. Polisi na wanajeshi ni wachache mno, hawawezi kuwa kila sehemu kwa wakati mmoja..
Lakini nawatia moyo kuwa, TUMESHASHINDA HII VITA maana walio upande wetu ni WENGI KULIKO WALIO upande wao...!