Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Sio kwamba ni mchezo umechezwa? Wamepangwa watu kadhaa wajikusanye ili zipigwe juu, hii ni strategy piaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawq watu nadhani wameshachanganyikiws yaani watu tumetulia tunacheza pool table ghafla yamefika yanaanza kurusha risasi hovyo hivumi Hawa watu wanaakili timamu kweli
Dunia ilivyo ya ajabu unaweza kukuta Kuna watu wataamini hapa.
 
Katika kitu ambacho Sikipendi ni mtu kutaka kunionea nyumbani kwangu au Mtaani kwangu.

Hiki kitu akili yangu hua inakataa sana kuki accept no matter from whom.

Uhuni uishie barabarani huko, sio ukute watu wamechill kwenye vijiwe vyao unawarushia risasi kmmke
 
Jamaa unapenda attention sana humu jukwaani acha ujinga

Stori yako yenyewe ina ukakasi inaonekana unavyojifunga kwenye maelezo yako

Yani watu mmerushiwa risasi nyie mkafanya comeback na mawe wakakimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tupe picha au video ya huyo jamaa aliyepigwa risasi ya bega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…