Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #41
Mkuu yaani ni mungu tu yamefika na kuanza kurusha risasi hovyo mungu tu kwasababu Kuna kokoto pembeni Kuna jamaa alizimwaga Kwa ajili ya ujenzi tukawafurumushz'a nazo ndio zimetusaidia wakakimbiaKatika kitu ambacho Sikipendi ni mtu kutaka kunionea nyumbani kwangu au Mtaani kwangu.
Hiki kitu akili yangu hua inakataa sana kuki accept no matter from whom.
Uhuni uishie barabarani huko, sio ukute watu wamechill kwenye vijiwe vyao unawarushia risasi kmmke
Arusha kubwa ni wapi vijana wamepigwa risasi?Mmewafurumusha na mawe?Hili tukio limetokea wapi?Bila ushahidi hii ni chai tu na uzushi.Wazee huku Arusha polisi wakikuta kikundi mnapiga stori wanapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Tunatest mitamboWazee huku Arusha polisi wakikuta kikundi mnapiga stori wanapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Dah! Hao sio wazimaWamepiga jamaa risasi ya bega mda huu amewahishwa hospital
Nyie wajinga si mmejipanga mbona mnalialia
Wanahamu na vitaWazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Kwanini usisindikize uzi wako na picha mnato au mjongeo kwa ajili ya matomaso mkuu?Wamekimbia mbwa Hawa tumewafurusha na mawe japo mmoja wetu wamempiga ya bega wanabahati sana
Mitaa IPO hiyo Man?Hawq watu nadhani wameshachanganyikiws yaani watu tumetulia tunacheza pool table ghafla yamefika yanaanza kurusha risasi hovyo hivumi Hawa watu wanaakili timamu kweli
Jana nilikuwa Airport Mwanza kuna kimgahawa pale nje,ikaja noa nyeusi nikaona JWTZ wanne vijana wadogo sana wale wakishuka na SMG kama wapo vitani na vizibao vilivyo na risasi za akiba,nikawa najiuliza wana shida gani hawa au kuna jambo gani,nikaona kijana mmoja aliyevaa kiraia akishuka na begi akaelekea kuboard,ikanionyesha atakuwa rafiki yao au boss wao,wao wakawasha gari wakaondoka,wote tuliokuwa pale mgahawani tukabaki tukishangaaWazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Haya majitu yanajiona hii nchi ni Mali yaoJana nilikuwa Airport Mwanza kuna kimgahawa pale nje,ikaja noa nyeusi nikaona JWTZ wanne vijana wadogo sana wale wakishuka na SMG kama wapo vitani na vizibao vilivyo na risasi za akiba,nikawa najiuliza wana shida gani hawa au kuna jambo gani,nikaona kijana mmoja aliyevaa kiraia akishuka na begi akaelekea kuboard,ikanionyesha atakuwa rafiki yao au boss wao,wao wakawasha gari wakaondoka,wote tuliokuwa pale mgahawani tukabaki tukishangaa
Vijana wa makonda mmekuja kuwaje?!Wazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Picha ya mshkaji wenu aliyepigwa risasiWazee huku Arusha polisi wametukuta tunapiga stori wakapiga risasi hovyo wamepiga risasi jamaa yetu mda huu hivi Hawa watu wamechanganyikiwa au watu wasipige stori tumewafurumusha na mawe endeleeni kuchokoza vijana waliotulia soon mtakipata Cha mtema Kuni itakua sio mawe tena mnatia hasira sana wajinga nyie
Poleni sana, Chuga eneo gani?Wamekimbia mbwa Hawa tumewafurusha na mawe japo mmoja wetu wamempiga ya bega wanabahati sana
Na kuna mijitu imeamini kabisa π π πPicha ya mshkaji wenu aliyepigwa risasi
Hawa nyumbu wamekuwa factory ya kuzusha uongo.Ukiwauliza maswali hao wanakimbia zao.Na kuna mijitu imeamini kabisa π π π
Tena wengine ni platinum members kabisa π π