Polisi acheni ujinga Leo mmepita hapa mtaani mnapiga risasi hovyo watu mmechanganyikiwa?

Ndiyo nchi mliyoitaka hiyo kimapunju nyie.
Kwamba wanainchi ndio wamefanya leo hii tuna maaskari wanaopiga watu risasi ovyo mitaani?

Hebu funguka wanainchi wamechangia vipi kuifikisha nchi hapa ilipo.

Nyie watetezi wa huu utawala dhalimu mna matatizo sana.
 
Na wewe umeamini wamewafurumusha polisi waliobeba risasi za moto na kokoto πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…