Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Jana Polisi Wamezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa #Kibamba na wananchi uliokuwa ufanyike leo 08/02/2020 kata ya #Mbezi, kwa kisingizio cha uongo kuwa eneo la stendi ya zamani tulipotaka kufanyia mkutano kuna ujenzi wa barabara unaendelea.
Huku Arusha Polepole kasombewa watu wamejazwa Sheikh Ameir.. Ungekuwa wa nabii au mtume ungeruhusiwa
Jr[emoji769]
Nimeshalisema hili Mara nyingi hawanielewi. 2015 walishika adabu hadi mashati walikuwa wanavalia ukumbini kwa sababu walionyesha nguvu ya kutumia polisi na ilikuwa inalipwa kwa wanachama wao wasio na ulinzi wa polisi mpaka wakaona wanawaponza.Dawa ni kuzomea kijani popote kisivalike. Makaburu weusi wabaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mihoyoni ndio mitaa ipi hapo jimboni Kibamba ?uzuri sisi watu wa kibamba tunajielewa, mkutano huu tumeufanya miyohoni mwetu,
. Ungekuwa wa nabii au mtume ungeruhusiwa
Jr[emoji769]
Hawa watu wanajua kutetea matumbo yao.
Mitaa ya kwa cheusi mangala.Mihoyoni ndio mitaa ipi hapo jimboni Kibamba ?
Sasa kwa nini wasingempangia sehemu nyingine
Kwani huyo Polepole ni nani hapo Arusha?