Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

Wamesahau kuwa ni alhamisi iliopita tu walijibu kuwa serekali siyo ya kibabe na haijazuia mikutano ya kisiasa kufanyika kila kiongozi anaruhusiwa kufanya katika eneo lake la uchaguzi.
 
Sasa tukisema nchi inatawaliwa kidikteta wengine wanabisha. Polisi wana mamlaka gani kuzuia watu wasifanye mikutano??

Huu ubabe wa kuzuia mikutano inaridhiwa na sheria gani huku ccm wao wakiachwa waendelee na mikutano.

Ni wakati sasa Marekani wawawekee vikwazo hili jeshi la polisi Tanzania, isiwe Makonda tu, kwa sababu linakiuka dhahiri haki za raia na pia limeshindwa kusimamia jukumu lake la kulinda raia na mali zao na badala yake linatumiwa na wanasiasa kudhulumu haki za raia wanaopashwa kuwalinda.
 
Wamesahau kuwa ni alhamisi iliopita tu walijibu kuwa serekali siyo ya kibabe na haijazuia mikutano ya kisiasa kufanyika kila kiongozi anaruhusiwa kufanya katika eneo lake la uchaguzi.
Anaruhusiwa na nani na kwa sheria ipi?
 
Back
Top Bottom