IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,226
- 1,919
Hivi kwanini uwazuie watu kufanya siasa? Huu ujinga ni kinyume na katiba yetu.Sasa huyu Mnyika anataka kuwaambia nini wananchi wa Kimbamba (kwa mfano).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini uwazuie watu kufanya siasa? Huu ujinga ni kinyume na katiba yetu.Sasa huyu Mnyika anataka kuwaambia nini wananchi wa Kimbamba (kwa mfano).
Jeshi letu limeamua kuweka weledi pembeni na hata kujitoa ufahamu ili tu kuwafurahisha makada wa CCM, kwa kuwa wanatambua kuwa ndio watu pekee wenye kuwahakikishia vyeo na mishahara yao.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.
Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna ujenzi wa barabara unaendelea.
#MTZ
Sasa si wangeelekeza eneo mbadala au?!Polisi bwana.......?????!!!!!Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.
Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna ujenzi wa barabara unaendelea.
Kama wanathubutu kutangaza kwamba tume ya uchaguzi iko huru, watashindwa kudanganya hilo la mikutano..?Mh Waziri Mkuu Majaliwa, alidanganya bungeni Alhamisi?
Si ukandamizani ni UJINGA.
CCM waelewe na waache 'to push them to hard'INAKERA, INAKEREHESHA, INAKIRIHISHA na kufanya ubakie unacheka kicheko cha Mwendawazimu!!
Juzi tu bungeni I Waziri mkuu alikanusha kuwa mikutano polisi schemings kumuumbua PM
Lakini so alikuwa amepata kibali? Polisi walipotoa kibali hawakujua kazi inaendelea?Sasa kwa nini wasingempangia sehemu nyingine au ni mwendelezo wa amri kutoka mbinguni