Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

Bado majaliwa anasema hakuna mbunge wala diwani aliekatazwa kufanya mikutano.
FB_IMG_1580580180137.jpg
 
Mwanahabari Huru, Ungekuwa wa nabii au mtume ungeruhusiwa

Jr[emoji769]
Hata ungekuwa wa CCM ungeruhusiwa.Tuombe waruhusu Binge Live ili POLCE wawe wanasikia majibu ya Serikali wanapoulizwa kuhusu kuzuiliwa kwa mikutano ya hadhara/kisiasa.
Hali hii ikiendelea Wananchi watakosa uvumilivu na yatakayotokea watalaumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu Mnyika anataka kuwaambia nini wananchi wa Kimbamba (kwa mfano).
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.

Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna ujenzi wa barabara unaendelea.

#MTZ
Kati ya taasisi za hovyo kabisa tulizo nazo, ni hili Jeshi letu. Hawajitambui wala kujielewa.
 
Adui mkubwa Wa upinzanj Ni ccm Na jeshi LA polis, mbaya zaidi hawasemi hadharani
 
Kama vyama vingine haviwezi kufanya mikutano, na CCM wasifanye mikutano. Hili ndiyo liwe azimio letu wote.
Ni kweli kukiwa na milipuko mitano ya ukweli kwenye mikutano ya ccm yenye kuuwa watu let say 200 tu. Hawatakusanyika na wao.

Itakuwa ngoma draw upinzani vs ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam.

Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna ujenzi wa barabara unaendelea.

#MTZ
Police au ccm
 
Back
Top Bottom