Sasa tukisema nchi inatawaliwa kidikteta wengine wanabisha. Polisi wana mamlaka gani kuzuia watu wasifanye mikutano??
Huu ubabe wa kuzuia mikutano inaridhiwa na sheria gani huku ccm wao wakiachwa waendelee na mikutano.
Ni wakati sasa Marekani wawawekee vikwazo hili jeshi la polisi Tanzania, isiwe Makonda tu, kwa sababu linakiuka dhahiri haki za raia na pia limeshindwa kusimamia jukumu lake la kulinda raia na mali zao na badala yake linatumiwa na wanasiasa kudhulumu haki za raia wanaopashwa kuwalinda.