Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nakuelewa vizuri tu mkuu.Hoja yangu uneilewa?
Hutakiwi kuntishia mtu silaha, akili ya uane mtishia inaweza kukuletea majeraha kifo au ulemavu wa kudumu.
Silaha kwa silaha zinalindana na zinaheshimiana. Yupo mtu anaweza kujihami na maisha yake kwa kitendo hicho, akakuua wewe mtishaji.
Lakini ninachokujulisha ni kwamba the whole story is a spin.
Kama ingekuwa kweli ni bastola hewa ya huyo dereva kipigo kitakatifu kingemhusu.
Lakini huyo dereva ansemekana ni mwanajeshi, wanajeshi hawabebi matoy.
Na mashirikia ya umma sasa yanatumika kama cover ya darm operations.
Umejiuliza kwa nini number plates nyingine za usalama zilikuwa ndani ya gari?
Umejiuliza afisa yule mnene aliyekuwem ndani ya gari kama ametambuliwa?
Tyre cover ya gari ni ile inyoyatambulisha magari ya ulinzi na usalam!
Tufunguke akili a kujua sasa serikali inayacompromise mashirika yake ya kiraia.