Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

Nakuelewa vizuri tu mkuu.
Lakini ninachokujulisha ni kwamba the whole story is a spin.
Kama ingekuwa kweli ni bastola hewa ya huyo dereva kipigo kitakatifu kingemhusu.
Lakini huyo dereva ansemekana ni mwanajeshi, wanajeshi hawabebi matoy.
Na mashirikia ya umma sasa yanatumika kama cover ya darm operations.
Umejiuliza kwa nini number plates nyingine za usalama zilikuwa ndani ya gari?
Umejiuliza afisa yule mnene aliyekuwem ndani ya gari kama ametambuliwa?
Tyre cover ya gari ni ile inyoyatambulisha magari ya ulinzi na usalam!

Tufunguke akili a kujua sasa serikali inayacompromise mashirika yake ya kiraia.
 
Huenda huyo dereva alikuwa kwenye mchakato wa kwenda kuvunja sheria za nchi mahali, hivyo wameficha utambulisho wa gari na kutumia toy ya bunduki ili wacheze michezo yao.
Yale yale mambo Yao.... Hapo kuna mtu kapona kwa huo msala😑
 
Wapo wengi kama huyo mbona polisi hawawakamati?
 
Nchi hii ni vituko. Yaani gari la Serikali linatumia namba fake (ironically hii ni possible kwani si ndio wasiojulikana hawa..)

Driver wa Serikali anatembea na toy la Bastola? Mizaha hii
Wanazitumia vigogo kwenda nyumba ndogo, nilishuhudia waziri mmoja wa Mkapa na mwingine wa JK wakicheza huo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…