Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Nani amekuambia nchi Ina haribika DJ au? Nchi inasonga wewe unalia piga kazi kiwavi Cha ufipa, usisahau kufuatilia kufuatilia hotuba ya kipenzi Cha watanzania raisi jpm

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk

Km kipenzi kwa nini mnaogopa wapinzani?
Wewe kuku hakuna Mkulima, Mfanyabiashara, mfanyakazi au mwanafunzi anaweyeza kuipigia kura ccm labda wale wakabila la gwajima....
 
Km kipenzi kwa nini mnaogopa wapinzani?
Wewe kuku hakuna Mkulima, Mfanyabiashara, mfanyakazi au mwanafunzi anaweyeza kuipigia kura ccm labda wale wakabila la gwajima....
Hakuna mpinzani anae ogopwa kama unawaza DJ anaogopwa umefeli umesahau aliomba nini kwa raisi mtu anae ogopwa ataomba maridhiano? Tuko vitani hapa mpaka tutake maridhiano? Muhuni wenu ameshasoma alama za nyakati Hana chake Tena ameshajuwa anajifia na Sacco's yake Kama kipindi kile Cha mrema pili uhuni huu wote anao ufanya mwaka huu unajua anatafuta nini? Lawama kwa vyombo vya dola na huruma kwa wanainchi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Huwezi kufanana na Mbowe,huna impact yeyote kwenye jamii!
Kwani wewe ni Joyce mbona una nilazimisha nifanane na muhuni tusivunjiane heshima tafadhali

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Hivi huoni ubovu wa unachokitetea?

Ulijua Mbowe aliita waandishi wa habari ili apinge huko unakokuita "kuombea taifa", ambako wengine tunaona ni maonyesho tu kama komedi?
Na kama na yeye alikuwa anaombea taifa kwa njia hiyo je?

Huo mkutano uliofanyika Chato mbona haikuathiri chochote cha hiyo komedi?

Yale maombi ya siku tatu Mungu hakuyakubali ikabidi yaongezwe haya mengine?

Hivi huko kichwani kuna akili au matope?

Imenibidi nitumie hii lugha mbaya, potelea mbali. Shenzi kabisa.
 
Kwa hiyo sababu kuu iliyosambaratisha mkutano wa Mbowe na waandishi wa habari ndio hii ya mkutano uliokuwa haukupangwa hadi dakika za mwisho?
 
Hawa nao wanatafta umaarufu wa lazima,mikusanyiko ya kisiasa imezuiwa yeye bado anaitisha press conference,any way alishazoea kuhudhuria mahakamani amepamiss isitoshe
 
Hahahahaha haya
Kuna Aya zinashushwa hapo karimjee hapa Covod19 asiposikia atakuwa na lake jambo.
Pale Karimjee hakukuwa na mkusanyiko?Tulinganishe idadi ya waliokuwepo pale na waandishi waliofika kwenye Press ya KUB,wepi wanaweza kueneza Corona?
Kwa aina hii ya kuchanganya maradhi na siasa,Watanzania tukinusurika na hili janga ni upendeleo.Mambo yanayofanyika yanakinzana na sayansi huku tukishangilia kama mazuzu.
 
Nakuelewa sana ndugu
 
Mkutano wa waandish wa abar na CHADEMA au CHADEMA na waandish wa abar?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mbowe anaepewa ruzuku na serikali anaidharau,anasumbua serikli inayoweka miundombinu ili wananchi wanufaike,hajui waziri mkuu ndo mtendaji mkuu wa shughuli za serikali,hajui ndio yenye dhamana kwa wananchi kiuchumi kisiasa kijamii,Bila serikali mbowe angekuwa mkt wa chadema,ajifunze kuheshmu mamlaka,serikali inapoongea Ni sawa na baba katika nyumba akiongea wote mnasikiliza,hata shuleni hivo hivo mwl akiwa anafundisha mnakaa kimya mwelewe Sabu ndio mwenye dhamana,Mbowe jifunze kuheshimu mamlaka,nakuheshimu ila Leo hapana Corona sio siasa watu wnataka fungu la kumi lako umenunulia wananchi sanitizer ngapi,barakoa ngapi,niliwahi kuandika Siasa za Awamu hii Ni za vitendo sio porojo,mmeona jpm katulia chatto mkajua kaenda kulala noooo the man is the hard worker halali kwa ajili ya wtz Bora hata wewe unaenda club kupiga denda malaya
 
I Imeandikwa usimjibu mpumbavu asije akajiona anahekima. Hivyo nakaa kimya.
 
Km kipenzi kwa nini mnaogopa wapinzani?
Wewe kuku hakuna Mkulima, Mfanyabiashara, mfanyakazi au mwanafunzi anaweyeza kuipigia kura ccm labda wale wakabila la gwajima....
Mkuu mimi nitoe huko pamoja na kwamba ni kabila la Gwajima! Siwezi kuipigia kura CCM hata mara moja!
 
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Wanataka kick...walijua watazuiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…