Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Hawa mbwa kwa nini hawaendi kukamata wabunge wanaoendelea kuchota posho wkt hawana faida yoyoye wanawazuia watu wenye akili kubwa?
 
Wangekuwa wanapambana na corona kama hivi,sasa hivi kili mtu angekuwa anafanya kazi zake bila wasiwasi.
 
Haijawa shida bado
Kama kuna ujumbe Mh. Mbowe anao kwa Watanzania teknolojia iko juu sana urekodiwe uwekwe U tube. Uta tufikia tuu. Waache polisi bado wako kwenye mawazo ya utopia
Kama Ndugai hukataa hotuba za upinzani bungeni na tuna zipata itkuwa hii issue ndogo hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.

Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
Mna uwezo wa kukariri tuu nyie Lumumba. Hivi sasa Pm ana fanya nini Karimjee?? Halafu eti mna jidai mna muomba Mungu. Wakati Biblia ina tufundisha patna kwanza na jirani yako ndipo uje kwangu. Sala zenu zote ni NULL AND VOID!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maombi ya Chadema hayatakiwi
Wahuni Wana maombi gani Basi zaidi ya kutafuta Kiki imekuwa Kama wasanii wa bongo kwa Kiki au unasemaje kamanda

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…