Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Hawa mbwa kwa nini hawaendi kukamata wabunge wanaoendelea kuchota posho wkt hawana faida yoyoye wanawazuia watu wenye akili kubwa?
 
Wangekuwa wanapambana na corona kama hivi,sasa hivi kili mtu angekuwa anafanya kazi zake bila wasiwasi.
 
Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...

Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.

Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter

View attachment 1426348View attachment 1426349View attachment 1426350
Haijawa shida bado
Kama kuna ujumbe Mh. Mbowe anao kwa Watanzania teknolojia iko juu sana urekodiwe uwekwe U tube. Uta tufikia tuu. Waache polisi bado wako kwenye mawazo ya utopia
Kama Ndugai hukataa hotuba za upinzani bungeni na tuna zipata itkuwa hii issue ndogo hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.

Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
Mna uwezo wa kukariri tuu nyie Lumumba. Hivi sasa Pm ana fanya nini Karimjee?? Halafu eti mna jidai mna muomba Mungu. Wakati Biblia ina tufundisha patna kwanza na jirani yako ndipo uje kwangu. Sala zenu zote ni NULL AND VOID!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom