Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mwambie hayo pia Ummy Mwalimu,PM na Makonda!Magwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie hayo pia Ummy Mwalimu,PM na Makonda!Magwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
hebu fafanua, tatizo liko wapi?Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Washauri wao ndio hawa unaoona wanacoment humu JF, sasa unategemea nini.Magwanda nao wanafeli wapi jamani? Mbona kuna YouTube live
Afanye press release, mikusanyiko isio lazima haitakiwi. Au aende insta live😁Mda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu sseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
View attachment 1426348View attachment 1426349View attachment 1426350
Kina Lema ndio wana akili kubwa?Hawa mbwa kwa nini hawaendi kukamata wabunge wanaoendelea kuchota posho wkt hawana faida yoyoye wanawazuia watu wenye akili kubwa?
Mikusanyiko ni kama ile aliyokuwa akifanya makonda!Mtu umeita wanahabari watano,tena tahadhari zote zimechukuliwa,nongwa ya nini?Mnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanaccm mwenye akili kumzidi Lema mtaje.....Yote majitu ya hovyo machumia tumbo tu
Wanatafuta Kiki kwa pikipikiChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
chato ni nchi mkuu usisahau hilo
Usimfananishe waziri wa afya huyo muhuniMpumbavu namba moja ni wewe na hao mashetani wenzako! Takataka mkubwa wewe
Hahahahaha hayaMnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo dj nae ni waziri wa afya?
Haijawa shida badoMuda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
View attachment 1426348View attachment 1426349View attachment 1426350
Mna uwezo wa kukariri tuu nyie Lumumba. Hivi sasa Pm ana fanya nini Karimjee?? Halafu eti mna jidai mna muomba Mungu. Wakati Biblia ina tufundisha patna kwanza na jirani yako ndipo uje kwangu. Sala zenu zote ni NULL AND VOID!!!!Shida Ni nini? Maana kwa sasa hatutaki mikusanyako.ndo maana hata sasa tunalaani sana mkusanyiko anaotaka kufanya waziri Mkuu dar
Wahuni Wana maombi gani Basi zaidi ya kutafuta Kiki imekuwa Kama wasanii wa bongo kwa Kiki au unasemaje kamandaMaombi ya Chadema hayatakiwi
Mkumbushe ni juzi tuu tuliwaona hao polisi wamekusanyika kama nzi kwenye kinyesi nao wakijidai wana muomba Mungu.Mpumbavu namba moja ni wewe na hao mashetani wenzako! Takataka mkubwa wewe
Wanafiki wakubwa waleMkumbushe ni juzi tuu tuliwaona hao polisi wamekusanyika kama nzi kwenye kinyesi nao wakijidai wana muomba Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app