Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Miaka ya nyuma tulitamani kuzaliwa mbwa Ulaya lakini siku hizi tunatamani tungezaliwa mbwa Kenya tu hapo. Mungu ibariki Tz Mungu ibariki Afrika.
 
Hawanitawali, siishi kwenye hilo Taifa linasomekana kubarikiwa vitu vingi sana kuliko mataifa mengine cha ajabu umasikini lilionao hauelezeki kwa maandiko.
Kumbe wewe ni wale wanaoishi kwenye grey area, wengine tulishajitoa kwenye hilo.
 
Siasa za bongo miyayusho kichizi,yani polisi kutwa kuangaika na chadema hata sioni sababu za msingi za kuangaika na huo jamaa mwishoni wanawapa kiki tu na hao jamaa nao wanapeda hiyo michezo ili wapate hizo kiki.
 
Serikali yenu dhaifu na ya kishetani kwa nn haikamati wezi mbwa nyei......Mnashirikiana na wezi na mafisadi ndio maana mnasema hivo
Iku siku atakamatwa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Mungu tuliyemuomba siku 3 za maombi ndiye Mungu huyo huyo aliyemuumba Freeman mbowe na wanachadema?
Kama ndiye mbona tunafunga na kuomba alfu tunawafanyia wenzetu matendo maovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawanitawali, siishi kwenye hilo Taifa linasomekana kubarikiwa vitu vingi sana kuliko mataifa mengine cha ajabu umasikini lilionao hauelezeki kwa maandiko.
Itakuwa ni msukule wewe bila shaka

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kumbr VITA ya upande wa pili bado ina endelea ...mshika remot akiwa mafichoni
 
Kama ndiye mbona tunafunga na kuomba alfu tunawafanyia wenzetu matendo maovu?
 
Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.

Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.

Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.

Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.

Maendeleo hayana vyama!
Huyo muhuni yeye na ka kikundi kake ka wahuni ni uzao wa shetani sio bure ameona kuna Jambo huyo kajipenyeza Kama kawaida ya wahuni

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom