mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
CCM haina misukule bwashee utupishe kaa huko mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]ila CCM tunavyowaogopa Chadema hadi aibu naona mimi mwana CCM!
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haina misukule bwashee utupishe kaa huko mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]ila CCM tunavyowaogopa Chadema hadi aibu naona mimi mwana CCM!
Kama ni wahuni mbona mnaumba umoja nao kwenye vita zidi ya korona?Muhuni anaogopwa? Kila siku wahuni wanakamatwa Kuna tofauti gani ya uhuni wa mbowe na wahuni walio mitaani
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Wewe ndiyo mpumbavu Mbona CCM walikusanyika karimjee jana akiwemo waziri mkuuChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli wewe msukule utawafananisha viongozi wa serikali wanaofanya majukumu yao na huyo DJ? Ni waziri wa nini yeye wa mtaa wa ufipa au?Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?
Itakuwa akili yako ni chongo inayoona upande mmoja tu! Njoo diamond jubilee huku uone nyomi!
Sawa ndondocha.Itakuwa ni msukule wewe bila shaka
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Mbona nyinyi mlijikusanya jana pamoja na waziri mkuu huko kwenye ukumbi wa bunge DsmMnalia kila siku kwamba selikali izuie mikusanyiko sasa nyie mbona mnakusanyana.?
Onesheni mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ulivyo kuwa misukule Ina sema mbona waziri wa afya anaongea mbona waziri mkuu anaongea nabaki kucheka wanavyo jidhihirisha wako sifuri Sasa huyo DJ wapo Ni waziri wa niniWashauri wa mwenyekiti wanafeli sana
Kwa hiyo waliamini kabisa kabisa kwamba wataruhusiwa? Huu nao ni upuuzi!
Hadi leo bado wanataka huruma ya wananchi? Najua kuna watu watabwatuka. Ila inabidi muelewe hata wakati wa kutafuta uhuru freedom fighters walilazimika kubadili mbinu pale mbinu za awali zilipofeli
Kila siku mkiandaa press inavamiwa? Plan B hamna!?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpumbavu namba moja ni wewe na hao mashetani wenzako! Takataka mkubwa wewe
Kwa ufala wako unazani DJ ni tusi kumbe ni kazi nzuri yenye kipato sasa huyo asiye na vyeti mbona hawaogopi waziri mkuu wala waziri wa afya akitaka kuongea anakusanya watu hata stend, wewe ndiyo msukule mifano yako ya kishamba sana.Kweli wewe msukule utawafananisha viongozi wa serikali wanaofanya majukumu yao na huyo DJ? Ni waziri wa nini yeye wa mtaa wa ufipa au?
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Ni mtazamo wako tu Kama ulivyo kosa hoja ya kupangua hojaKwa comment hizi, nina wasiwasi ulitoroka mirembe kabla hujapona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota au kaombwa na nani? Wana msaada gani?Kama ni wahuni mbona mnaumba umoja nao kwenye vita zidi ya korona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hawa Polisi walikua wanafanya maombi juzi au ni wa nchi gani? Huu ujinga unaoitwa Maombi huu, utatugharimu ghadhabu ya Mungu!
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wanajua data zao feki na kutokuwajibika kutawekwa hadharaniWanazuia Mbowe asizungumze je, wameshajua anataka Kuongea nini? Ndiyo maana nazichukia mno Siasa za sasa za Tanzania.
Wewe mbweha ebu ficha ufala wako kwa akili yako finyu unaona DJ ni tusi? hakuna asiye na history huko CCM mbona kibajaji na Msukuma ni darasa la saba lakini CCM huwategemea Bungeni kuliko wabunge wanaojiita wasomi wenye vyeti vya kununua kuunga unga kama akina mwigulu, CCM mnafanya mikusanyiko mingi hata jana mlikusanyika karimjee na waziri mkuu akiwepo, acha kuja na mifano yako ya kishambaHalafu ulivyo kuwa misukule Ina sema mbona waziri wa afya anaongea mbona waziri mkuu anaongea nabaki kucheka wanavyo jidhihirisha wako sifuri Sasa huyo DJ wapo Ni waziri wa nini
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Una busara sana! Sema kuna hawa kenge wanajiona wajuaji wa kila kituAmani iwe kwenu🙌🙏
Coronavirus ni yetu sote, haina chama jamani
Mpumbavu ni Baba yako na mama yako kwa kuzaa mtoto jinga Kama wewe!Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Umeshasema waziri mkuu! Kiongozi wa serikali Sasa huyo muhuni wenu ni Nani nae pia ni waziri wa afya au mkuu wa mkoaMbona nyinyi mlijikusanya jana pamoja na waziri mkuu huko kwenye ukumbi wa bunge Dsm
Katiba ndio inatowa majukumu na kila mtanzania ameruhusiwa na katibaKweli wewe msukule utawafananisha viongozi wa serikali wanaofanya majukumu yao na huyo DJ? Ni waziri wa nini yeye wa mtaa wa ufipa au?
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Sijui mnazungumzia maombi ya namna gani. Kama mnalihusisha jina la Yesu kwenye hayo maombi, basi mtakuwa mmewaonea Chadema, na wala Mbowe hapaswi kukemewa kama unavyojaribu kushawishi hapa. Kama Yesu alielekeza kwamba watu wafundishwe na wawe na hiari ya kumkubali au kumkataa, kumbe hakuna maombi ya kulazimisha. Ni kukosa uelewa kulitaka Taifa lisimamishe mambo yake yote kwa ajili ya maombi ya Karimjee. Inapofika hatua sasa mmeamua kuwachagulia wananchi mambo ya kusikia kubalini tu kwamba this is a failed state!Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.
Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.
Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.
Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.
Maendeleo hayana vyama!