Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

ila CCM tunavyowaogopa Chadema hadi aibu naona mimi mwana CCM!
CCM haina misukule bwashee utupishe kaa huko mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Majaliwa, Ummy na Makonda mbona hawajizuii kukutanisha na kukusanya watu?
Itakuwa akili yako ni chongo inayoona upande mmoja tu! Njoo diamond jubilee huku uone nyomi!
Kweli wewe msukule utawafananisha viongozi wa serikali wanaofanya majukumu yao na huyo DJ? Ni waziri wa nini yeye wa mtaa wa ufipa au?

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Washauri wa mwenyekiti wanafeli sana

Kwa hiyo waliamini kabisa kabisa kwamba wataruhusiwa? Huu nao ni upuuzi!

Hadi leo bado wanataka huruma ya wananchi? Najua kuna watu watabwatuka. Ila inabidi muelewe hata wakati wa kutafuta uhuru freedom fighters walilazimika kubadili mbinu pale mbinu za awali zilipofeli

Kila siku mkiandaa press inavamiwa? Plan B hamna!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ulivyo kuwa misukule Ina sema mbona waziri wa afya anaongea mbona waziri mkuu anaongea nabaki kucheka wanavyo jidhihirisha wako sifuri Sasa huyo DJ wapo Ni waziri wa nini

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kweli wewe msukule utawafananisha viongozi wa serikali wanaofanya majukumu yao na huyo DJ? Ni waziri wa nini yeye wa mtaa wa ufipa au?

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Kwa ufala wako unazani DJ ni tusi kumbe ni kazi nzuri yenye kipato sasa huyo asiye na vyeti mbona hawaogopi waziri mkuu wala waziri wa afya akitaka kuongea anakusanya watu hata stend, wewe ndiyo msukule mifano yako ya kishamba sana.
 
Amani iwe kwenu🙌🙏
Coronavirus ni yetu sote, haina chama jamani

Ndio hawa Polisi walikua wanafanya maombi juzi au ni wa nchi gani? Huu ujinga unaoitwa Maombi huu, utatugharimu ghadhabu ya Mungu!
Chadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Halafu ulivyo kuwa misukule Ina sema mbona waziri wa afya anaongea mbona waziri mkuu anaongea nabaki kucheka wanavyo jidhihirisha wako sifuri Sasa huyo DJ wapo Ni waziri wa nini

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Wewe mbweha ebu ficha ufala wako kwa akili yako finyu unaona DJ ni tusi? hakuna asiye na history huko CCM mbona kibajaji na Msukuma ni darasa la saba lakini CCM huwategemea Bungeni kuliko wabunge wanaojiita wasomi wenye vyeti vya kununua kuunga unga kama akina mwigulu, CCM mnafanya mikusanyiko mingi hata jana mlikusanyika karimjee na waziri mkuu akiwepo, acha kuja na mifano yako ya kishamba
 
Mbona nyinyi mlijikusanya jana pamoja na waziri mkuu huko kwenye ukumbi wa bunge Dsm
Umeshasema waziri mkuu! Kiongozi wa serikali Sasa huyo muhuni wenu ni Nani nae pia ni waziri wa afya au mkuu wa mkoa

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Taarifa za viongozi wakuu wa dini kufanya maombi ya pamoja kuliombea taifa dhidi ya janga la Corona zilitolewa tangu last week.

Jana jioni akaibuka mwenyekiti wa Chadema na tangazo kwamba leo ataongea na taifa kupitia press conference.

Cha ajabu akuweka mkutano wake katika muda ule ule ambao taifa zima litakuwa kwenye maombi.
Sijaelewa mantiki yake lakini vitabu vitakatifu vinaniambia hii ni kazi ya shetani.

Katika hili Mbowe anapaswa kukemewa.

Maendeleo hayana vyama!
Sijui mnazungumzia maombi ya namna gani. Kama mnalihusisha jina la Yesu kwenye hayo maombi, basi mtakuwa mmewaonea Chadema, na wala Mbowe hapaswi kukemewa kama unavyojaribu kushawishi hapa. Kama Yesu alielekeza kwamba watu wafundishwe na wawe na hiari ya kumkubali au kumkataa, kumbe hakuna maombi ya kulazimisha. Ni kukosa uelewa kulitaka Taifa lisimamishe mambo yake yote kwa ajili ya maombi ya Karimjee. Inapofika hatua sasa mmeamua kuwachagulia wananchi mambo ya kusikia kubalini tu kwamba this is a failed state!
 
Back
Top Bottom