PostGE2025 Polisi: Gwajima, Golugwa, Brenda Rupia, Lema, Mahinyila na Mnyika wajisalimishe katika vituo vya Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
mbna sasa haujiui kama unatetea kifo sana, na mbna umekaa online wakati wenzako walikua barabaran si ndo unafki wenyewe ulikua unazungumziwa uku juzi
 
Tatizo msababishe nyie kisha msingizie wengine
 
ile sheria ya kinga iliopitishwa unaikumbuka. Mambo mengi ya kisiasa yanafichwa ndani ya sheria mbovu.
Sheria isiyo na haki ni udhalimu.

Hata makaburu wa Afrika Kusini waliongoza nchi kwa ubaguzi wa rangi kisheria.

Ironically, hata makaburu walivyowaua weusi Sharpeville hawakuwaua hivi.


Yani watawala wetu wanawaua rais vibaya kuliko Makaburu wa Afrika Kusini.
 
Hapa amani hamna kwaiyo wao kuwajibika na vifo hapana na awaguswi, kwaiyo hao ndio walioua?
 
Wamesahau jina langu.
 
Mawakili wenyewe akina Katuga,Mrema.......hakuna kesi ni kupotezeana muda
 
Na haki isiyo na wajibu ni kundi la nyumbu na mafisi
 
Polepole wanaye? Maana sijaona jina lake hapa..!!
 

Yaani Polisi wameuwa vijana halafu wanataka kuwapa wengine kesi watu wasio na hatioa🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Wawavundike,waive
Nyinyi ni vipofu wa vipofu, Damu za watanzania zilimwagika kwenye ardhi yao mama, zitamlilia MUNGU ardhini, MUNGU atajibu, Kila aliyehusika atawajibika, hata yule ambaye mwanafunzi kipofu wa mwalimu kipofu, hiyo damu itarudi juu vichwa vyenu na vizazi vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…