PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.

Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime iliyotolewa hivi punde, ikisema; "Jeshi la Polisi Tanzania linaendelee kusisitiza kuwa, kinacho hamasishwa na kuitwa maandamano ya amani yasiyo na kikomo bado yamepigwa marufuku kwa sababu hayajafuata na wala hayaja kidhi matakwa ya Sheria Mama ambayo ni Katiba ya Mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi Sura 322."

Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitanda.jpg
 
Madai ya watu wengi kutekwa,kuuawa ni ya muda, probably video ya zamani
Naona umeandika kwa heshima sana hapa. Hakuna mtu anayeunga mkono maandamano wala yale mauaji ya 29 ila jitahidi uandike kwa heshima comments zako maana kule mwanzo ulikuwa unaandika kwa jeuri na dharau sana.
 
Acha kunipangia jinsi ya kuandika ndezi wewe
 
Back
Top Bottom