BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Wapo chap kujibu bosi wao muliro atasema ni AI
Leo ni 9dec UHURU DAY.
Leo ni 9dec UHURU DAY.
Tulikua tukiwasubuli Leo wangeandamana wangekutana na mkono na wananchi wenye hasira kali, wanabahati sanaRais Samia mitano tena
Huyu mama aongoze mpaka 2030 maana kazi yake ni kubwa sana , wapinzani walipoona hawana pa kumshika wakapokea pesa za wahuni wa nje na kisha kuhamasisha vurugu.
Wamefeli wanalia tu, pesa za watu muzirudishe.
Hata mwakani hatamalizaRais Samia mitano tena
Huyu mama aongoze mpaka 2030 maana kazi yake ni kubwa sana , wapinzani walipoona hawana pa kumshika wakapokea pesa za wahuni wa nje na kisha kuhamasisha vurugu.
Wamefeli wanalia tu, pesa za watu muzirudishe.
Ungeandamana tu wahuni tukupe ulinachostahiliThis causes too much pain in my heart
Acha tu leo nikuignore, nakiri kuwa nimeshindwa kuvumilia threads zako
Hapana mimi siwezi kuandamana, niko busy na mambo yangu. Na hata ndugu zangu nilikuwa nawasihi wasiandamaneUngeandamana tu wahuni tukupe ulinachostahili
Kila chawa ni waku 🚮This causes too much pain in my heart
Acha tu leo nikuignore, nakiri kuwa nimeshindwa kuvumilia threads zako
Watawadhiniti Kwa siku ngapiRais Samia mitano tena
Huyu mama aongoze mpaka 2030 maana kazi yake ni kubwa sana , wapinzani walipoona hawana pa kumshika wakapokea pesa za wahuni wa nje na kisha kuhamasisha vurugu.
Wamefeli wanalia tu, pesa za watu muzirudishe.
Haya mapolisi yalitwambia hizo video ni za AI, leo yanasema ni za zamani. Upolisi ni kazi ya laana.
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime iliyotolewa hivi punde, ikisema; "Jeshi la Polisi Tanzania linaendelee kusisitiza kuwa, kinacho hamasishwa na kuitwa maandamano ya amani yasiyo na kikomo bado yamepigwa marufuku kwa sababu hayajafuata na wala hayaja kidhi matakwa ya Sheria Mama ambayo ni Katiba ya Mwaka 1977 pamoja na Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi Sura 322."