Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Madai ya watu wengi kutekwa,kuuawa ni ya muda, probably video ya zamaniHiyo ya mwanza ni ya zamani? Au?
Nahisi lengo la GenZ ni hilo kila mtu ale kwa jasho sio unakaa kaa tu ukisubiri mwisho wa mwezi.Kama ni hivyo maana yake askari watalazimika kuwepo barabarani kila siku.
Video ya zamani kuna mahali kulikuwa na maandamano yenye mabango?Madai ya watu wengi kutekwa,kuuawa ni ya muda, probably video ya zamani
Kwa hiyo mmepiga picha moja tu hiyo,hamna nyingineVideo ya zamani kuna mahali kulikuwa na maandamano yenye mabango?
Ila mumeendelea kula nyama zao na kunywa damu zao mpaka leoMadai ya watu wengi kutekwa,kuuawa ni ya muda, probably video ya zamani
Nyingine waambie polisi wakupe.Kwa hiyo mmepiga picha moja tu hiyo,hamna nyingine
Leo itabidi wakulipe posho ya masaa ziada maana kila saa na kila uzi upo.Kwa hiyo mmepiga picha moja tu hiyo,hamna nyingine
Ndio kazi yao.Kama ni hivyo maana yake askari watalazimika kuwepo barabarani kila siku.
Alafu na JWTZ wako barabarani!Video ya zamani kuna mahali kulikuwa na maandamano yenye mabango?
Naona umeandika kwa heshima sana hapa. Hakuna mtu anayeunga mkono maandamano wala yale mauaji ya 29 ila jitahidi uandike kwa heshima comments zako maana kule mwanzo ulikuwa unaandika kwa jeuri na dharau sana.Madai ya watu wengi kutekwa,kuuawa ni ya muda, probably video ya zamani
Acha kunipangia jinsi ya kuandika ndezi weweNaona umeandika kwa heshima sana hapa. Hakuna mtu anayeunga mkono maandamano wala yale mauaji ya 29 ila jitahidi uandike kwa heshima comments zako maana kule mwanzo ulikuwa unaandika kwa jeuri na dharau sana.
Hakuna sehemu raia wameandamana mpaka sasa-dwAione GENTAMYCINE pamoja na Mgane gallow bird πππ