Pre GE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

Pre GE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
photo_2024-08-12_14-31-01.jpg
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.

Pia soma:
Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema huko Jijini Mbeya kwa kivuli cha kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.

Soma Pia:
 
1000030827.jpg

Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.

Kilichopigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema huko Jijini Mbeya kwa kivuli cha kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.
 
Hao viongozi mmewakamata wakiwa wapi, nje wakifanya vurugu? Na waandishi wa habari? Hawa Polisi mara nyingi wanaongea upumbavu sana
 

Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.

Kilichopigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema huko Jijini Mbeya kwa kivuli cha kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.
KIPEPERUSHI barua rasmi inayotoka ofisi kubwa inapaswa kuwa na rubber stamp.
Na sign ya Kiongozi mhusika.

ni aibu kwa msemaji kuleta KIPEPERUSHI ambacho hakijitoshelezi interms of content.

Jeshi la Polisi lenyewe linahitaji reforms.

Maofisa wakuu wenyewe hawajui hata BIBLIA yao inayowaongoza Yani PGO Police General Order.

aksari police wa vyeo vya chini wanaishi maisha magumu sana, ila wanatumia kama wanyama kazi kwa maslahi ya serikali ambayo imejaa ufisadi.

Wanaovaa boot low quality kabisa, muda mwingine wananunua wenyewe na kushonesha wenyew uniforms.

Siku Askari Polisi wakijitambua ndio mwanzo wa maisha mazuri na kuheshimika na Jamii.

Enyi Askari Polisi ni nani aliyewaroga? Mpaka mnatumikishwa kama misukule na kuwatisha kuwapiha na kuwasweka ndani watu wanalipa Kodi kwa ajili ya mishahara yenu??

Hebu toa akili mfukoni RUDISHA
 
Hahahahahahaha naona mwanachama wote wa chadema kama kawaida mnatoa povu
 
Hivi kwani mapolisi yooote hata hao yenye vyeo hayajasoma au yamesoma hayajaelimika.

These creatures must have viruses in their medular oblongata
Polisi kazi zao hazihitaji akili sana, ni za King'ombe Ng'ombe.
Kifupi wana laana!!
 
Wajuzi wa Kiswahili, Kuna tofauti gani kati ya Mikusanyiko na Hadhara?
Kiswahili ni kigumu sanaa aisee!
Nadhani haya mapolisi yana funza kwenye ubongo.
Siamini kama kweli hii barua yao imeandikwa na mtu ambae amesoma hata kufika kidato cha nne.
Tukiwakosoa wanasema tunawadhalilisha,
Nimechoka kabisa daaaaa
 
Back
Top Bottom