Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Naam, Intrahamwe na Inkotanyi, "Huko Rwanda Mungu asema Nasi "Kwasasa ni vigumu kulitofautisha na Wanamgambo wa Kihutu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, Intrahamwe na Inkotanyi, "Huko Rwanda Mungu asema Nasi "Kwasasa ni vigumu kulitofautisha na Wanamgambo wa Kihutu.
Kubwa jinga, hongera kwa kuchagua ujinga 🤔🤓Hahahahahahaha naona mwanachama wote wa chadema kama kawaida mnatoa povu
Samahani Yule Kamanda Wankyo Ramadhan Nyegesa Aliyekuwa Anautaka Kwa Nguvu Sana Kuwa IIGIIIPII Yupo Wapi ?Huyu IGP naona atakuwa wa ovyo Toka ulimwengu kuumbwa, ndio tatizo la kuajiri form failure.
Tumia kufulia nguo zako za mboga mboga 😀 😀Hahahahahahaha naona mwanachama wote wa chadema kama kawaida mnatoa povu
Hovyo!Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema huko Jijini Mbeya kwa kivuli cha kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.
Soma Pia:
- John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427
- Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
- Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
- Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Tii sheria bila shuruti. Hicho ndicho CDM wamekosea. Huwezi kupimana msuli na chombo cha dola.Jeshi la polisi linawatoa hofu wananchi.
Halijapiga marufuku mikutano ya siasa.
Limewasweka tu mahabusu wanachama 500 wa Chadema.
Na maccm mnatoa ushuzi tuHahahahahahaha naona mwanachama wote wa chadema kama kawaida mnatoa povu
Tii sheria bila shuruti. Hicho ndicho CDM wamekosea. Huwezi kupimana msuli na chombo cha dola.
Walikosea jina, ilikuwa ni ya viongozi wa Chadema walitumia kivuli cha ACT Wazalendo.Vipi Ile ya ACT wazalendo nayo iliyopigwa marufuku?
Kwani kukusanyika ni kosa kisheria!!Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.