Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Where is freedom of expression.... bora mfiche ujinga wenu, mnatuibisha CNN na Aljazeera ndo zimekua taarifa.
Je wilaya ya kipolisi mbagala wamekosea
KIPEPERUSHI barua rasmi inayotoka ofisi kubwa inapaswa kuwa na rubber stamp.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Kilichopigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa na Viongozi wa Chadema huko Jijini Mbeya kwa kivuli cha kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.
Hivi kwani mapolisi yooote hata hao yenye vyeo hayajasoma au yamesoma hayajaelimika.Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi...
Polisi kazi zao hazihitaji akili sana, ni za King'ombe Ng'ombe.Hivi kwani mapolisi yooote hata hao yenye vyeo hayajasoma au yamesoma hayajaelimika.
These creatures must have viruses in their medular oblongata
Nadhani haya mapolisi yana funza kwenye ubongo.Wajuzi wa Kiswahili, Kuna tofauti gani kati ya Mikusanyiko na Hadhara?
Kiswahili ni kigumu sanaa aisee!
Kwasasa ni vigumu kulitofautisha na Wanamgambo wa Kihutu.Wanaovaa boot low quality kabisa, muda mwingine wananunua wenyewe na kushonesha wenyew uniforms.