Pre GE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu IGP naona atakuwa wa ovyo Toka ulimwengu kuumbwa, ndio tatizo la kuajiri form failure.
Samahani Yule Kamanda Wankyo Ramadhan Nyegesa Aliyekuwa Anautaka Kwa Nguvu Sana Kuwa IIGIIIPII Yupo Wapi ?
Alisema Angelivyoosha Geshi Lote Na Nchi Ingekuwa Shwari Sana
 
Jeshi la polisi linawatoa hofu wananchi.
Halijapiga marufuku mikutano ya siasa.
Limewasweka tu mahabusu wanachama 500 wa Chadema.
 
Kwa hiyo viongozi wakikusanyika ili wakale kitimoto pale Mafiati mpaka waombe kibali cha polisi?
 
Hivi mikutano ya ndani sio mkusanyiko?

Au kuadhimisha siku ya vijana duniani nikuadhimisha bila kukusanyika?

Mikusanyiko isiyo halali na iliyo halali ni ipi?

Hao walikuwa wanaenda mbeya kumbe wangeenda kila 1 kivyake msingewazuia?
 
Hovyo!
 
Jeshi la polisi linawatoa hofu wananchi.
Halijapiga marufuku mikutano ya siasa.
Limewasweka tu mahabusu wanachama 500 wa Chadema.
Tii sheria bila shuruti. Hicho ndicho CDM wamekosea. Huwezi kupimana msuli na chombo cha dola.
 
Watendaji wa majeshi yetu ni mzigo

Wanauwezo wa kuwakusanya watu watombe mitungo watu

Ila wanaojikusanya kwa kutovunja sheria wanakamatwa
 
Tii sheria bila shuruti. Hicho ndicho CDM wamekosea. Huwezi kupimana msuli na chombo cha dola.

..Polisi na Ccm ndio hawafuati sheria.

..Chadema kipindi chote wamesisitiza mkutano wao hauna malengo mabaya.

..Na wametoa mifano ya maadhimisho yao ya siku ya vijana yaliyofanyika mwaka jana, na juzi.

..Serikali na Polisi wana hofu na hali mbaya kiuchumi ya vijana. Wanaamini vijana walipewa elimu na Chadema watawala watakuwa mashakani.

..Lakini kwa muda wote Chadema wamefuata sheria, na wameweka msisitizo kwamba hawana mipango ya kuvunja sheria.
 
Wanaogopa nini kwani, kwenye huo mkusanyiko wao wamefanya vurugu? au wanaona Tulia anazamishwa wanajaribu kurescue situation
 
Kwani kukusanyika ni kosa kisheria!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…