Pre GE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaruhusu mkutano ila unapiga marufuku kukusanyika huo mkutano unafanyika vipi? Make hata kama ni online bado ni kusanyiko!
 
Mikutano itafanyikaje bila kukusanyika?
 
Hiyo statement ya Policcm ni upuuzi mtupu Kuna barua mitandaoni ikwaambia ACT Wazalendo mikutano yote imezuiwa 😡
 

Jambo lolote la kisheria halitakiwi kuumbiwa maneno.
IGP pls pitia taarifa ya Polisi ya jana, ya leo kwa ACT na ya msemaji wa jeshi la Polisi leo hii.
Yajayo yatawafurahisha sana wanufaika
 
Hivi
Mkusanyiko maana yake ni tofauti na mkutano mbona sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…