Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza.
Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu, watu walienda kumteka mdude walijitambulisha kama polisi na mkewe na majirani wanasema afande shabani anahusika na utakeji huo tusije na majibu mepesi.
Wananchi hawawezi kudanganya au kumsingizia shabani kwa bahati mbaya na wananchi wanayo haki ya kujilinda, suala la wananchi kudili na shabani halina mjadara lazima tuwe waasi wa magaidi haijalishi ni polisi.