Katika kinywa cha mpumbavu mna fimbo ya kiburi, Bali midomo ya wenye hekima huwahifadhi.Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Mkuu.Wacha apate haki yake. . .comedy yenyewe anayoifanya ya kitoto kweli, hakuna creativity yoyote. Bora hata wakuvanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ni nini?
Ujinga wake ni nini?
Anastahili vipi kuwa kule?
Asiyestahili kuwa kule ana sifa gani?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kitu anachotengeneza Magufuli, kitakuja ku back fire vibaya sana hapo baadae
Kitu anachotengeneza Magufuli, kitakuja ku back fire vibaya sana hapo baadae
Mbegu mnayopanda CCM itawarudia ikiwa na maumivu makali.Ujanja mwingi mbele kiza naunga mkono hoja ashughulikiwe tu amna namana
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kinywa cha mpumbavu mna fimbo ya kiburi, Bali midomo ya wenye hekima huwahifadhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa kwamba ana haki za kikatiba kufanya alichofanya?Mkuu kukujibu kwa ufupi ni kuwa aliyefanya huyo kijana ndio ujinga, ujinga wake ni kudhalilisha kwa kujificha kwenye kigezo cha kuchekesha,he deserves more than that
Asiyestahili kuwa kule ni yule asiyefanya ujinga km wa huyo kijana
Unaelewa kwamba ana haki za kikatiba kufanya alichofanya?
Haki za kikatiba ni ujinga?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kudhalilisha ni nini na comedy ni nini?Kudhalilisha ni haki za kikatiba?
Kudhalilisha ni nini na comedy ni nini?
Kioanya anavyomchora rais, anamdhalilisha?
Kipanya naye ashitakiwe kwa kumdhalilisha rais?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Unajua nini kuhusu comedy?Kama huwezi kutofautisha kati ya kudhalilisha na comedy sina la kukusaidia brother
Endeleeni kuota, hakuna mtanzania aliye timamu asoona yanayofanywa na wasaliti wa Taifa, October sio mbaya ndo mtaelewa kumbe watukanaji mitandaoni hawafiki hata 2% ya wapiga kura wote, mfano mdogo tu,Kitu anachotengeneza Magufuli, kitakuja ku back fire vibaya sana hapo baadae
Kuna wasaliti na mafisadi kwenye nchi kuwazidi nyinyi MATAGA ?Endeleeni kuota, hakuna mtanzania aliye timamu asoona yanayofanywa na wasaliti wa Taifa, October sio mbaya ndo mtaelewa kumbe watukanaji mitandaoni hawafiki hata 2% ya wapiga kura wote, mfano mdogo tu, mitandaoni 98% walidhihaki tangazo la watu wajimwage mitaani,...
Unajua nini kuhusu comedy?
Unafahamu "roast" ni nini?
Sent from my typewriter using Tapatalk