Umejinadi kujua kutenganisha comedy na kudhalilisha.Mkuu unachotaka ni nini?
Nimekwambia alichofanya huyo kijana sio comedy ni udhalilishaji
Still reapiting the same question!
Why
Then unaizingumzia roast katika mkitadha gani?
Wewe unajitambua?Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa
Ashughilikiwe tu
Umejinadi kujua kutenganisha comedy na kudhalilisha...
Pamoja na Technology yote tuliyonayo karne hii ya 21 bado Kuna vitu hatuwezi jifunza kabisa hivi zile meme anazofanyiwa Trump na kutukanwa angewafunga wangapi mpaka sasa lakini anaona ni vitu vya kipuuzi tu kwake nashangaa huku kwetu unavizingatia kweli yani [emoji17]
Kama kuwanyoosha mabwana zenu mabeberu ni usaliti wacha tuwe wasaliti, kama Rais kushusha mshahara wake kutoka kwa 15,000 USD za aliyemtangulia hadi 4,000 USD ni ufisadi basi acha awe fisadi, the majority tunaona na tutamzawadia.Kuna wasaliti na mafisadi kwenye nchi kuwazidi nyinyi MATAGA ?
Sasa kama hujui roast ni nini katika comedy, hujui comedy.Hakuna Sehemu nimejinadi ila nimeandika uhalisia
Ni kweli comedy na kudhalilisha haziwezi kuwa kwenye kikapu kimoja otherwise una interests binafsi
Kuhusu roast sijui
Huwaga hamuoni aibu hata mara moja kusupport ujinga?
Huwa mnajiona mpo safe sana kwa kuwa ni wapiga zumari wa CCM ?
I'll be back
Itakuwa wamekosa uhuru wa kuongea live. Iyo nayo nzuri. Mbona na wewe humu unatumia jina fekiYako zaidi ya hayo, wanatumia fake IDs na namba fake kutukana na kudhihaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajampita Magufuli kwa arrogance.Mnyoosheni kabisa, akili zimkae sawa, Idris amekuwa so arrogant
Hana Cha kufanyaHuwaga hamuoni aibu hata mara moja kusupport ujinga?
Huwa mnajiona mpo safe sana kwa kuwa ni wapiga zumari wa CCM ?
I'll be back
Sasa kama hujui roast ni nini katika comedy, hujui comedy.
Na kama hujui comedy na unashupalia kuongelea kutenganisha udhalilishaji na comedy, unaongelea vitu usivyovijua.
Tatizo unaangalia mambo kibongobongo.
Ni kama vile unataka tujadili movies kwa kuishia Bongo movie.
Mimi najadili movies za dunia nzima, wewe unajadili movies kwa kuangalia Bongo movie tu.
Ndiyo maana nakuuliza unajua roast ni nini katika comedy, hujui.
Of course hatuwezi kuelewana.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Baada ya miaka kumi wewe itakufaidia nini?Wamshikilie tu hata miaka kumi
Usiniambie kuwa ww huwaigi wazungu utakuwa unajidanganya mwenye!Huwezi kuwaiga Wazungu hata kwa mambo ya kijinga
Hao Wazungu wanaruhusu ushoga Unataka na Tanzania tuwaige?
Hapa hakuna excuse huyo kijana efanya ujinga anastahili anachopata
Ningekuona wa maana zaidi kama ungekuwa unaandika haya maneno kwenye internet yako, ambayo haijaanzishwa na mabeberu.Kwanza tambua huwezi kujua kila kitu
Kitu cha pili kujadili kwa ku reflects mazingira ya kitanzania ndio safi Kwasababu ndiko Watanzania asilimia kubwa tunaishi...