Ningekuona wa maana zaidi kama ungekuwa unaandika haya maneno kwenye internet yako, ambayo haijaanzishwa na mabeberu.
Ukitumia herufi zenu, si za kuazima kwa watu...
Mpaka awe na adabu mjinga mmoja huyo, angeweka picha ya baba yake mzazi afu aanze kuchekaNi Chuki na wivu tu
Acha roho mbaya broo.Wamshikilie tu hata miaka kumi
Hana Cha kufanya
Mabeberu wakinywa sumu na wewe utakunywa?Mabeberu pia tungewaona wa maana km wasingekuja Africa kuchuma madini kwenda kutengenezea hizi simu
Wasingetulazimisha tutumie doller kama kweli hawamuhitaji mwafrica...
Sio roho mbaya,,hakuna kitu tunaeza fanya,,Ni kuwa wapole tu,,kila kitu na wakti wake,,haya nayo yatapita...Acha roho mbaya broo.
Sijasema nafurahi mtu kuwekwa lokapu wiki nzima bill kupelekwa mahakamani,,namaanisha hakuna kitu tunaeza fanya,,wakae nae hata hiyo miaka kumi,,maana hatuna ubavu wa kufanya lolote lileBaada ya miaka kumi wewe itakufaidia nini?
Au imani yako weww upo salama na ukandamizaji wa aina hii?
I'll be back
Ni sawaFanya na Wewe upumbafu mtandaoni ukampe faraja celo
Itanisaidia kutoka hapa kitu ambacho kitakusaidia sana wewe dada yangu @Coutrywide kupata wasaa mzuri wa kutambaliziwa mkuyenge na shemeji yangu kitu ambacho kitakuondolea kiherehere cha kurukia mambo yasiyokuhusuAkitoka wewe itakusaidia nini kujikwamua kutoka kuishi kwa shemeji yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ila aina hii ya ukandamizaji inakera saana.Sijasema nafurahi mtu kuwekwa lokapu wiki nzima bill kupelekwa mahakamani,,namaanisha hakuna kitu tunaeza fanya,,wakae nae hata hiyo miaka kumi,,maana hatuna ubavu wa kufanya lolote lile
Internet unayotumia imeanzishwa na mabeberuKwanza tambua huwezi kujua kila kitu
Kitu cha pili kujadili kwa ku reflects mazingira ya kitanzania ndio safi Kwasababu ndiko Watanzania asilimia kubwa tunaishi...
Amcheke Rais halafu asiwe na kosa?Kijana ndoto zake zinapotezwa hivi hivi. Haki itendeke huenda yote aliyotuhumiwa kusiwe na kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mpiga Zumari wa CCM. Idris Matatizo kayatafuta mwenyewe sababu ya kuleweshwa na Umaarufu Uchwara. Anaacha kuhangaika na Maisha yake anaanza kujihusisha na Mambo ya kipumbavu.Huwaga hamuoni aibu hata mara moja kusupport ujinga?
Huwa mnajiona mpo safe sana kwa kuwa ni wapiga zumari wa CCM ?
I'll be back
Internet unayotumia imeanzishwa na mabeberu
Kuanzia kesho acha kuitumia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aisee! Hii Nchi ina mambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Idris kucheka picha kumesababisha political instability ?