Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

Ramon Sanchez

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2022
Posts
767
Reaction score
1,850
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

Screenshot_20230826-091524.png
 
Mtu anaekupa maelekezo yanayotakiwa kutokewa na namba maalum ya mtandao husika kwa kutumia namba yake binafsi ni kitendo cha ‘Utapeli’. Mahakamani unaenda kudhibitishwa na kuadhibiwa tu.
......any defendant in a criminal trial is assumed to be innocent until they have been proven guilty by the court.
 
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

View attachment 2729173
Tafuta kazi za kufanya hata uokote makopo ili angalau akili yako iwe bizze Mkuu. Hii itakupunguzia kudeal na vitu vidooooogo ambavyo havina ingizo/maokoto kwenye maisha yako.
Nyie ndio wale unaanza kuuliza kwanini wimbo wa Taifa una beti 8 badala ya moja tu. Au kwanini Bwana na Bibi kwenye nembo ya Taifa blaaa blaaa🤣🤣🤣
 
Unamfanyia dhihaka mtu ambaye hata haumjui
 
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

View attachment 2729173

Kwa hiyo mtu akikuibia huwa unangoja mpaka Hakimu akuambie ni mwizi? Unachokatazwa ni adhabu, hiyo ndo inaamuliwa na mahakama, ndo maana anaitwa mtuhumiwa na mahakama, ila wewe unaamini ni mhalifu.
 
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

View attachment 2729173
Kwa hiyo unamaanishaa hta jambazii akikamatwa anavamiaa,asiitwe jambazii hadii mahakamaa imtiee hatianii au??
 
Back
Top Bottom