Polisi inawezaje kumuita mtu tapeli kabla ya mahakama kumtia hatiani?

kasome maana ya "tapeli"katika penal code then yeyote utakayeona anamatendo sawa na yalivyomaanishwa kwenye tafsiri ya tapeli basi ripoti.

Kwa unavyohoji ni sawa na kuona mtu amekatwa mkono,kiganja kimetenganishwa alafu uhoji kwanini tuseme amekatwa mkono wakat doctor hajathibitisha kama mkono umekatwa.
 
Unazungumzia jinai alafu unatoa mfano wa ajali (limb amputation)?? Are you serious?? Kwa hiyo mimi nikigombana na wewe kisha nikakupigia kelele za wizi ni kweli wewe ni mwizi??

Jinai inahitaji concrete evidence laa sivyo hayo magereza yataishia kujaa raia wasio na hatia.
 
Huyo atakuwa mojawapo bila shaka
Au atakua ndiyo wale ma Wakili wa Mchongo anaetetea matapeli kwa kuangalia vi point vidogo vidogo ili amshawishi Hakimu kushinda kesi, wakati tatizo kuu ni wizi kws njia ya utapeli! Mwizi ni Mwizi tu!!
 
Professionalism in Public Communication
 
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

View attachment 2729173
Huko dunia ya kwanza wanaita hivyo haya wewe wa Mat..ni mwa dunia unataka watumie neno gani?
 
Good Morning jamiiforums.

Ujumbe niliopokea kupitia mtandao wa Halotel.

POLISI.

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee.Ripoti namba ya tapeli kwenda 15040

View attachment 2729173
Mkuu umeanzisha gumzo hili ili kupima uwezo wa watu wa kufikiri?

Wezi wa kimtandao ulitaka waitwe jina gani labda?

Halafu tangazo toka Halo tel linawahusuje Polisi?

Kwa sababu tunaelimishana, embu jaribu kutuandikia skelton ya tangazo hilo ambavyo ulitaka liwe.
 
Ilipaswe iwe hivi;

Usifuate maelekezo kuhusu huduma unazozitumia kutoka kwenye namba usiyoifahamu. Halotel itawasiliana nawe kwa namba 100 pekee. Ripoti namba ya mtuhumiwa wa utapeli kwenda 15040.
 
How is it even possible for law enforcement agency to break the law?
Ipo hivi wametoa namba hapo unatuma ujumbe wa namba iliyokutumia taarifa za kitapeli kwenye simu yako alafu wao kule kwenye mfumo wao watafanya checking ya kuona huyo mtu amekutumia wewe tu kwa bahati mbaya au ametuma kwa watu wengi? wakicheck wakagundua kwamba ametuma kwa watu wengi basi wanam-block asiendelee kutuma ujumbe alafu wanaanza kumfuatilia na mwisho wanamkamata

Rejea:- dogo wa miaka 22 aliedukua mfumo wa CRDB na kuiba million 13 na kumtumia mpenzi wake million 5, unajua alifanyaje?
 
Hata huyo dogo anayedaiwa kuingilia mfumo wa bank ya CRDB bado ni mtuhumiwa mpaka mahakama itakapomtia hatiani sasa ndio atakuwa ni criminal. Kwa sasa he's just a suspect.
 
Sasa kinachomfunga si ushahidi uliopo au unafikiri waliibuka tu wakamdaka?, dogo aliacha fingerprints kule baba haya Mambo ya tech ukicheza fyongo tu umedakwa maana unaweza ukawa unacheza na watu wenye uzito kukuzidi yaan ulichofanya na unachofanya ndio michezo yao

Dogo ametumia mbinu ya kawaida sana ambayo hata wewe unaweza ukaitumia ni kuweza kunakiri na kukariri password tu na kutambua kiasi gani kipo kwenye akaunti ya mtu fulani kwisha habari

Unafungua line mpya ya mtu husika hii wanachezeshaga wale wanaoandikisha line baada ya hapo unalinganisha password alioitumia kufungulia Mobile money wengi hutumia password moja hawawezi wakatumia password zaidi ya moja kwa akaunti tofauti baada ya hapo play store unapakua app ya bank husika ukimaliza unaingiza password unacheck salio unatoa Pesa

Boom!
 
Back
Top Bottom